Tag: soka
UNAAMBIWA HUYO YAO HAPO JANGWANI NI ZAIDI YA JESHI
Jeshi la Wananchi wa Jangwani Yao kouassi Attohoula, Mlinzi wa kulia wa Klabu ya Yanga.
Yao anaweza kulinda upande mmoja wa jangwa peke yake. Atakufanya...
MABOSI SIMBA WAWEKA MEZANI MILIONI 500 SIMBA IKIICHAPA YANGA DABI YA...
Taarifa kutoka ndani ya Simba SC, zinaeleza kuwa, uongozi wa timu hiyo umeweka pesa ya maana ili kuhakikisha wanaibuka na ushindi dhidi ya Young...
JE JUMAPILI NI SIKU YA SIMBA!? DABI HII KUAMUA KILA KITU
ZIMEBAKI siku tatu kabla ya mechi kubwa nchini Simba vs Yanga, lakini kwa takwimu za kiufundi zilivyo gemu itakuwa ya ufundi mwingi na itafia...
DABI YA KARIAKOO UNAAMBIWA IMEANZA NJE YA UWANJA HAPA GAMONDI PALE...
Jumapili ya Novemba 05 mwaka 2023 mishale ya saa 11 jioni, Miamba ya Soka la Bongo (Simba SC na Young Africans) itakwenda kukutana kwa...
LOLOTE LINAWEZA KUTOKEA DABI YA KARAKOO……ILA KWA TAKWIMU HIZI HAKUNA SARE
Hakuna sare Jumapili, Kariakoo Derby lazima mtu apasuke. Hii ni kutokana na kila upande kuwa na uimara katika eneo fulani uwanjani.
Simba ina uimara eneo...
GAMONDI ATUMIA DAKIKA 180 KUWASOMA SIMBA
Ni Miguel Gamondi, Kocha Mkuu wa Yanga amewasoma wapinzani wao Simba kwa muda wa dakika 180 baada ya kuwachambua wapinzani wake.Novemba 5 Yanga wanatarajiwa...
HUKO SIO POA UNAAMBIWA NI KWA VITENDO SASA
Hongera kwa Yanga SC kwa kufanikiwa kuchaguliwa katika tuzo za CAF katika kipengele Cha Timu Bora ya mwaka ni kweli wanastahili sababu katika msimu...
AL AHLY AFL WATUPWA NJE YA MASHINDANO, WYDAD vs WYDAD KUKIPIGA...
Mabingwa wa muda wote wa Ligi ya Mabingwa Afrika Klabu ya Al Ahly ya Misri wameondolewa kwenye michuano ya African Football League baada ya...
GAMONDI AWATULIZA PRESHA WACHEZAJI WA YANGA………. MECHI NI YETU HII
Zikisalia siku nne tu kabla ya mchezo wa watani wa jadi, Simba SC na Young Africans, Kocha Mkuu wa Young Africans, Miguel Angel Gamondi,...
HAWA NDIO MASTAA HATARI DABI YA KARIAKOO
Joto na presha kubwa ni katika mchezo wa watani wa jadi Jumapili kutokana na namna ambavyo timu zote kwa sasa zimekuwa na matokeo mazuri.
Yanga...