Tag: soka
ONYO HILI LAMFUATA LOMALISA HUKOHUKO NJE YA UWANJA
Akiwa nje akiendelea kuuguza majeraha yake ya kifundo cha mguu ‘enka’, beki wa kushoto wa Yanga, Joyce Lomalisa amepewa onyo hiyo, Moses Etutu.
Beki huyo...
YANGA LEO WASIPOKUWA MAKINI HILI NDIO LITAWAKUTA
Mchambuzi wa soka nchini Shafii Dauda amesema hana hofu na Yanga lakini wanatakiwa kuwa makini sana leo kwenye mechi yao dhidi ya Medeama huko...
CHAMA NAE AONYESHWA MLANGO WA KUTOKEA MSIMBAZI….. ISHU IKO HIVI
Shabiki maarufu wa Klabu ya Simba, anayefahamika kwa jina la Mchome amesema kuwa kiungo mshambuliaji wa timu hiyo, Clatous Chama kwa sasa hana msaada...
HUKO LIGI YA MABINGWA NI HATARI NA NUSU….. YANGA NDANI YA...
Wakati kikosi cha Yanga kikiwasili jana Ghana kwa ajili ya kuikabili Medeama, keshokutwa Ijumaa, mambo manne yanailazimisha kuibuka na ushindi katika mechi hiyo itakayochezwa...
GAMONDI ALIAMSHA AKATAA UTARATIBU HUU WA VIONGOZI WA YANGA
Kocha Mkuu wa Yanga Sc, Miguel Gamondi amepinga utaratibu wa uongozi wa Klabu ya Yanga kuzipa majina ya wachezaji wao, mechi zao za nyumbani...
AL AHLY WAIKATAA YANGA MCHANA KWEUPEEEEE
Mchezaji wa Al Ahly, Ali Maâloul amesema kuwa hawakuwa wanaijua Yanga SC, lakini walivyoingia hatua ya Makundi ndiyo wakaanza kuifuatilia.
Nyota huyo raia wa Tunisia...
HIKI HAPA KIKOSI CHA SIMBA KILICHOSAFIRI KUELEKEA BOTSWANA
Simba wameondoka nchini leo alfajiri Desemba 1, 2023 kuelekea nchini Botswana kwa ajili ya kuwakabili Jwaneng Galaxy, mchezo wao wa pili wa hatua ya...
AL AHLY WASHIKILIA HESHIMA YA YANGA…. UONGOZI WAFUNGUKA HAYA
Klabu ya Yanga imesema mechi ya Jumamosi dhidi ya Al Ahly imeshikilia heshima yao kwani kama ikiibuka na ushindi itapata sifa kubwa barani Afrika...
YANGA KWENYE KIBARUA KIGUMU
YANGA kesho ina kibarua kigumu kwenye mchezo wa pili wa hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Ahly ya Misri...
ROBERTINHO AIBUKIA YANGA AMPA GAMONDI MBINU ZA KUIUA AL AHLY
Kikosi cha Yanga kinaendelea na maandalizi ya mchezo wa pili wa makundi wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Ahly ya Misri, huku...