Tag: soka
GAMONDI AWAFANYIA UMAFIA WAARABU
Kikosi cha Yanga kinahesabu saa tu kabla ya leo jioni kuanza safari kuwafuata wapinzani wao, Al Merrikh lakini kuna hesabu za kimafia zimepigwa na...
YANGA HII SASA TOO MUCH
Wakati matokeo ya msimu uliopita ya kutolewa Ligi ya Mabingwa Afrika na Al Hilal ya Sudan yakimuumiza kichwa, Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel Angel...
ROBERTINHO APATA DAWA YA WAZAMBIA ISHU IKO HIVI
Siku tatu zikisalia kabla ya mchezo wao wa Mkondo wa Kwanza wa Ligi ya Mabingwa Barani Afrika Raundi ya Kwanza, Kocha Mkuu wa Simba...
YANGA YAPAA AFRIKA YASHIKA NAMBA MOJA
Klabu ya Yanga imeibuka kinara kwa kufuatiliwa zaidi barani Afrika kwenye mtandao wa Instagram kwa upande wa timu za mpira wa miguu kwa mwezi...
HAKUNA SIMBA BILA CHAMA SHABIKI AFUNGUKA
Shabiki kindakindaki wa Klabu ya Yanga ambaye pia ni mchambuzi wa soka, Jimmy Kindoki amesema kuwa Klabu ya Simba inategemea mchezaji mmoja tu ambaye...
MBRAZILI AMALIZA KAZI YA DYNAMO……….., GAMONDI AWAFANYIA UMAFIA WAARABU
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
SIMBA YATANGAZA KUELEKEA ZAMBIA FULLMKOKO ISHU IKO HIVI
UONGOZI wa Simba, umetangaza kuwafuata wapinzani wao Power Dynamos ya nchini Zambia mapema Alhamisi, huku wakiwa na kikosi chote wakijipanga kupangua hujuma za wapinzani...
AHMED ALLY AWEKA WAZI ISHU YA KIMATIFA
Wakiwa wanajiandaa kuivaa na Power Dynamos katika mchezo wa kwanza wa hatua ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika, uongozi wa Simba SC...
HIZI HAPA HESABU ZA SIMBA DHIDI YA POWER DYNAMOS
HUKU wakijiandaa kuvaana na Power Dynamos katika mchezo wa kwanza wa hatua ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika, uongozi wa Simba umetangaza kuja...
KUHUSU HESHIMA YA SIMBA,BENCHI LA UFUNDI LIMEKUJA NA KAULI HII
Benchi la ufundi la Simba SC umetoa maagizo mapya kwa wachezaji wa klabu hiyo wakiongozwa na washambuliaji wao hatari, Luis Miquissone na Jean Baleke...