Home Tags Soka

Tag: soka

VIGOGO YANGA WAMWAGA PESA KWA MASTAA WAO

0
Uongozi wa Klabu ya Yanga umeweka wazi kuwa utaendelea kumwaga pesa za maana za bonus kwa wachezaji kwaajili ya kuhakikisha kuwa timu hiyo inafanya...

YANGA WAONYESHWA MWANGAZA WA USHINDI RWANDA

0
KIUNGO wa kimataifa wa Rwanda ambaye amewahi kukipiga ndani ya timu za Simba na Yanga, Haruna Niyonzima, amesema mbali na mapokezi makubwa ambayo kikosi...

YANGA YASHUSHA CHUMA KINGINE SIO POA, JOB, MWAMNYETO MATATANI

0
Wakati Yanga ikionekana kuwa na utajiri wa mabeki wa kati, kocha mkuu wa timu hiyo, Miguel Gamondi ameongeza beki mwingine kwenye eneo hilo anayekwenda...

VIONGOZI WA YANGA WATANGAZA KUFANYA KUFURU HII

0
Uongozi wa Young Africans umeweka wazi kuwa kwa sasa unataka kufanya kufuru ya kwenda anga za vigogo kama Pyramid na Al Ahly kwa kumwaga...

MASTAA SIMBA WACHIMBWA MIKWARA OLE WAO

0
Kocha Mkuu wa Simba SC Roberto Oliviera Robertinho ametoa onyo zito kwa wachezaji wake wakati wakijiandaa na mchezo wa Ligi ya Mabingwa Barani Afrika. Simba...

KAZE AFUNGUKA BAADA YA KUANZA MSIMU VIBAYA

0
Baada ya kuanza vibaya kwenye michezo yao miwili ya kwanza ya Ligi Kuu Tanzania Bara, Kocha Mkuu wa kikosi cha Namungo FC, Cedric Kaze...

KUFA KUFAANA KUTOKA KMC MPAKA SIMBA

0
Katika maisha ya kutafuta kuna muda ili upate ulaji ni lazima aliyekuwa kwenye nafasi fulani atoke kisha ndio wewe upate na hiyo ndivyo jinsi...

ROBERTINHO AKOMAA NA KIKOSI CHA SIMBA AZIDISHA DOZI

0
ROBERTO Oliveira ‘Robertinho’ Kocha Mkuu wa Simba, ameweka wazi kuwa, kinachotakiwa kufanyika kwa sasa ni wachezaji wote kuongeza kasi na umakini wawapo ndani ya...

YANGA YACHOREWA RAMANI YA USHINDI,…… HESABU ZA SIMBA CAF HIZI HAPA

0
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo

GAMONDI SIO KINYONGE AJA NA HILI KIGALI

0
Kocha Mkuu wa Yanga, Muargentina, Miguel Gamondi anasuka kikosi chake kwa ajili ya mechi zijazo ikiwemo ile ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS