Tag: soka
BENCHIKHA AREJESHA MATUMAINI MAPYA SIMBA
KOCHA Mkuu wa Simba, Abdelhak Benchikha amerejesha matuamini kwa mashabiki wa timu hiyo na amekabidhiwa faili la Jwaneng Galaxy ya Botswana ambao watakutana nao...
UONGOZI WAWATULIZA WANASIMBA, MRATIBU ATOA KAULI HII
Mratibu wa Simba, Abbas Ally amesema kitendo cha kubadilishiwa uwanja dhidi ya Jwaneng Galaxy Jumamosi walikishtukia kabla kwa hiyo hakitawatoa mchezoni. Awali walikuwa wacheze...
GAMONDI NAE HAPOI UNAAMBIWA KABADILI GIA JUU KWA JUU
Yanga Jumamosi itarudi Kimataifa. Itakuwa uwanja wa Mkapa kuwakabirisha Al Ahly na kocha Miguel Gamondi amesema anakazi kubwa kuhakikisha washambuliaji wake wanatumia vyema nafasi...
SIMBA SASA TUACHE KUJIFARIJI….. NJIA NI HII TU
Andiko la @jr_farhanjr kwenda kwa viongozi wa Simba SC;
Timu ilipokuwa haifanyi vizuri Mashabiki wakapiga sana kelele, zilipozidi kelele wakaitwa Mashabiki wenye nguvu haswa mtandaoni...
AHMED ALLY AFUNGUKA HALI MBAYA WANAYOPITIA
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally kupitia Instagram amefunguka sare iliyopata timu hiyo 1-1 na ASEC Mimosas mechi ya kwanza Ligi...
HIKI HAPA NDIO KILICHOWAPONZA YANGA DHIDI YA WAARABU
Kwenye hii michuano mikubwa unahitaji wachezaji wako wote wawe na siku nzuri kazini ili uweze kufanya vizuri.
Yanga jana wamem-miss Djigui Diarra golini hivyo build-up...
BAADA YA KIFINYO YANGA WAFUNGUKA HAYA
Msemaji wa Klabu ya Yanga, Ally Kamwe amedai kuwa wao walimiliki zaidi mpira lakini wapinzani wao, kwenye mchezo wa kwanza wa hatua ya makundi...
ISHU YA MAXI KUTAKIWA SIMBA UKWELI HUU HAPA…TIMU YAKE YA CONGO...
YANGA wako Algeria na kesho watapambana na CR Belouizdad ya huko kwenye mechi ya kwanza ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika lakini huku...
GAMONDI AFUNGUKA USHINDI NA BURUDANI KWA WAKATI MMOJA SIO POA
Kocha wa Yanga, Miguel Gamondi amesema kuwa amewaandaa vya kutosha vijana wake kwa mbinu mbadala zitakazowaweka salama ikiwezekana kupata ushindi katika mchezo wao na...
YANGA KWENYE VITA YA MTETEZI SIO POA
Mabingwa wa Ligi Kuu Bara, Yanga wao wanarudi tena kwenye mechi za hatua ya Makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika mara ya pili wakiwahi...