Tag: soka
HUKO SIMBA USHINDI NDIO WIMBO WA TAIFA, ROBERTINHO AWAKALIA KOONI, ONANA,...
Kocha Mkuu wa Simba SC, Roberto Oliviera ‘Robertinho’, amewafungia kazi Washambuliaji wake wapya akiwemo Luis Miquissone na Willy Essomba Onana kwa kuwataka wahakikishe wanaongeza...
ROBERTINHO AMPA MTIHANI HUU NGOMA
Kocha Mkuu wa Simba SC, Olviera Robert ‘Robertinho’ amemwambia kiungo wake mshambuliaji Mkongamani, Fabrice Ngoma anataka kumuona akiifanyia makubwa klabu hiyo, katika Ligi ya...
LIGI KUU BARA 2023/24 MACHO YOTE KWA MAKOCHA, YANGA NA KOCHA...
WAKATI Ligi Kuu Bara ikitarajiwa kuanza mwezi ujao, timu mbalimbali zimefanya mabadiliko ya benchi la ufundi kwa lengo la kutaka mapinduzi mapya ya kufanya...
MAMBO YAPO HIVI ISHU YA MKUDE KUONDOKA KAMBINI YANGA
WAKATI tetesi zikieleza kuwa kiungo mkabaji ingizo jipya ndani ya Yanga Jonas Mkude amesepa kambini AVIC habari za kuamini zimebainisha kuwa nyota huyo yupo...
HAYO MAPOKEZI YA MAYELE HUKO MISRI, SIO POA UNAAMBIWA KAMA MFALME
SASA ni rasmi kuwa nyota wa Yanga raia wa DR Congo, Fiston Mayele ameondoka rasmi klabuni hapo kwenda nchini Misri kwa ajili ya kujiunga...
BANGALA AFUNGUKA MAZITO KABLA YA KUSEPA, HUYO MRITHI WA MAYELE ANAMTIHANI...
KUTOKANA na kiwango alichokionyesha Fiston Mayele ndani ya misimu miwili akiwa Yanga ni kama ameacha mtihani mkubwa kwa mrithi wake kuhakikisha anaisaidia klabu kwenye...
KIPA MBRAZIL WA SIMBA ATAKIWA KUTHIBITISHA UBORA WAKE, KIPA WA MAKOCHA...
KIPA wa zamani na kocha wa makipa, Ivo Mapunda amesema kipa mpya wa Simba, Jefferson Luis Szerban anatakiwa kuthibitisha ubora wake kwani ameingia kwenye...
WAWAKILISHI WA KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA, SIMBA, YANGA, AZAM, SINGIDA FG,...
WAWAKILISHI wa Tanzania, Yanga na Simba kwenye Ligi ya Mabingwa na Singida Fountain
Gate na Azam kwenye Kombe la Shirikisho Afrika wapo kwenye hekaheka za...
SIMBA YAWEKA WAZI ISHU YA KUACHANA NA BANDA……. ISHU IKO HIVI
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Klabu ya Simba, Imani Kajula amesema kuwa klabu hiyo ipo kwenye hatua za mwisho za kukamilisha mazungumzo na makubaliano baina...
ROBERTINHO ASHTUKIA KITU MWISHONI, MTIHANI UKO HAPA SASA HUKO SIMBA
Zikiwa zimebaki siku nne kwa Simba kumaliza kambi maalumu nchini Uturuki, kocha wa timu hiyo, Roberto Oliveira 'Robertinho' ameshtukia kitu baada ya kiwango bora...