Tag: usajili
FIFA YAIFUNGULIA YANGA KUSAJILI…WAANZA NA JITU LA MAGOLI
Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) limeiondolea Yanga SC adhabu ya kufungiwa kusajili wachezaji baada ya kukamilisha malipo ya aliyekuwa mchezaji wao...
TAJIRI AS VITA AINGILIA DILI LA MPANZU SIMBA…TRY AGAIN ATUA DR...
RAIS wa Klabu ya AS Vita, Amadou Diaby amekutana na winga wa kikosi hicho, Elie Mpanzu Kibisawala ili kumshawishi aendelee kubaki ndani ya timu...
YANGA YAMPA MIL 300 MWAMNYETO…KILA KITU KUELEWEKA.
NAHODHA wa Yanga, Bakari Mwamnyeto ameongeza mkataba wa miaka miwili ili kukitumikia kikosi hicho, huku klabu hiyo ikitoa Sh300 milioni kama pesa ya usajili...
WATATU KUBAKI SIMBA…12 KUPEWA THANK YOU AKIWEMO PUTIN.
MNYAMA Simba SC anafanya mabadiliko kimyakimya kwenye kikosi chake kwa ajili ya msimu ujao, na mabadiliko makubwa yanaendelea kufuatia kushindwa kufanya vizuri katika misimu...
ALICHOKISEMA JEMEDARI SAID…SAKATA LA LAMECK LAWI…SIMBA NDANI
MCHAMBUZI wa soka nchini Jemedari Said ametoa mtizamo wake, kuhusu sakata la usajili wa beki wa kati wa Coastal Union Lameck Lawi, ambaye amesajili...
JOSHUA MUTALE ATUA DAR KIMYA KIMYA…SIMBA WAMALIZA KILA KITU
SIMBA inaendelea kusuka kikosi chake kimyakimya huku ikielezwa kwamba kati ya mastaa 12 wa kigeni waliomaliza na kikosi hicho msimu wa 2023-2024, ni nyota...
SAKATA LA LOMALISA LAMUIBUA MWINYI ZAHERA…HATMA YAKE YANGA
BAADA ya kuitumikia Yanga kwa misimu miwili, beki Mkongomani, Joyce Lomalisa anatajwa kutua Namungo FC kwa ajili ya kuongeza nguvu kwenye kikosi hicho msimu...
SIMBA YAWAONGEZA MKATABA MZAMIRU & ISRAH…MWINGINE ATAMBULISHWA
KIUNGO wa Simba fahari ya Morogoro, mtaalamu kabisa wa dimba la kati Mzamiru Yassin Selemba, ameongeza mkataba wa kusalia Simba hadi mwaka 2026.
Mzamiru ameongezewa...
INONGA AIPATIA SIMBA MIL 500…WAARABU WAMALIZA KILA KITU
ALIYEKUWA Beki wa Simba Henock Inonga amejiunga na FAR Rabat ya Morocco baada ya timu hiyo kufuata saini yake.
FAR Rabat imezungumza na Simba ikitaka...
SIMBA YAMALIZANA NA AUGUSTINE OKEJEPHA…AANZA SAFARI RASMI.
KIUNGO mkabaji wa Rivers United, Mnigeria Augustine Okejepha ameeleza dili lake la kujiunga na Simba, huku akisisitiza shauku yake kubwa ni kucheza soka la...