Tag: usajili
WATU WANAISUBIRi THANK YOU YA PA OMAR JOBE SIMBA…LEO WANAACHWA WAWILI.
ANAYEKUFUKUZA hawezi kukwambia Ondoka. Ndiyo msemo unaoweza kuutumia kwa mshambuliaji wa Simba, Pa Omar Jobe, ambaye mashabiki wa klabu hiyo wameonyesha kiu kubwa ya...
ANTHONY TRA BI TRA AWINDWA NA SIMBA…NI BEKI WA KATI
Simba SC ipo kwenye mazungumzo na beki wa kati wa ASEC Mimosas, Antony Tra Bi Tra (25) ili kuziba pengo la Henock Inonga anayetajwa...
JOBE HUYOO ANASEPA…SIMBA KUMLIPA MIL 200
Simba imepanga kumtoa kwa mkopo mshambuliaji wake Pa Omar Jobe kwaajili ya msimu ujao.
Jobe alijiunga na Simba katika dirisha dogo la Januari kwa mkataba...
SIMBA WATANGANZA KUANZA KUTOA THANK YOU.. MZEE WA SALUTI AANZA...
WAKATI mbao Muda wowote kuanzia sasa, Simba wataanza kutangaza wachezaji ambao wataachana nao, na kutangaza wapya, mashabiki mbalimbali wametoa maoni yao akiwemo shabiki maarufu...
YANGA YAMFICHA AGEE AVIC…ANA BALAA ZITO…INJINIA HERSI AMALIZA MAMBO
YANGA bado inapiga hesabu za kusajili winga wa maana na mezani kwao kuna mawinga wawili akiwemo Philipe Kunzumbi na Basiala Agee, lakini mmoja kati...
SIMBA YAWAPA KOCHA PAMBA…SABABU ZAO NI HIZI
ALIYEKUWA Kocha wa Simba na Tabora United, Goran Kopunovic ametambulishwa rasmi kuwa Kocha Mkuu wa timu iliyopanda Ligi Kuu Bara kwa msimu ujao, Pamba...
MWAMNYETO AFUNGUKA KILA KITU…SIMBA YAMFUATA
BAADA ya mchezo wa hisani kati ya Team Mwamnyeto dhidi ya Mbeya All Stars, beki kitasa wa klabu ya yanga anayehusishwa zaidi kutakiwa na...
YANGA YAINGILIA KATI USAJILI WA PHILIPPE KINZUMBI…INSHU IKO HIVI
MABOSI wa Yanga wameingilia kati dili la mchezaji wa TP Mazembe Philippe Kinzumbi ambaye Waarabu walitega mtego ili kumnasa.
licha ya kuwepo kwa tetesi kiungo...
AZIZ KI KUMFUATA MAYELE, SIMBA WAMKATAA LOMALISA
WAKATI Yanga wakipambana kumbakiza, Stephane Aziz Ki ambaye ndiye kinara wa upachikaji wa mabao msimu huu (21) inaelezwa Pyramids FC ya Misri imeonyesha nia...
USAJILI SIMBA WAPAMBA MOTO…YANGA NO STRESS
MABOSI wa Simba wameanza mazungumzo ya kumnasa kiungo mkabaji raia wa Guinea, Mohamed Damaro Camara.
Damaro anayeichezea Hafia ya Guinea aliyojiunga nayo mwaka 2020 akitokea...