Home Tags Usajili

Tag: usajili

KUMBE AWESU NI MNYAMA KITAMBO SANA…MWENYEWE AFUNGUKA

0
KIUNGO mshambuliaji mpya wa Simba, Awesu Awesu ameshatua kambini sambamba na winga Mcameroon, Willy Onana na kuweka bayana anavyojisikia kuanza mazoezi na timu aliyokuwa...

LAWI AJIUNGA TIMU YA SAMATTA ULAYA.

0
WAKATI Coastal Union ikiendelea kupambana na Simba juu ya nani ana haki ya umiliki wa kimkataba wa Lameck Lawi, beki huyo ametua rasmi Ubelgiji...

MAMELODI SUNDOWN WAINGILIA DILI LA MCHEZAJI WA SIMBA

0
SIMBA SC ni moja kati ya Vilabu vilivyopiga hodi mitaa ya Chamanzi kuulizia uwezekana wa kuipata saini ya Kiungo wao Feisal Salum "Fei Toto". Mnyama...

DILI LA MPANZU SIMBA LAOTA MBAWA…ONANA ARUDISHWA KUNDINI

0
DILI la Winga wa Kimataifa wa DR Congo Elie Mpanzu kujiunga na Simba kwa msimu ujao 2024/25 limeota mbawa rasmi kutokana na ugumu uliowekwa...

UKWELI KUHUSU SUALA LA JEAN BALEKE YANGA

0
Kumekuwa na maswali mengi juu ya kushindwa kutambulishwa kwa Jean Baleke licha ya straika huyo wa zamani wa Simba kuonekana mazoezini na kuwa kwenye...

GAMONDI AWAJIBU WANAOMSEMA CHAMA…

0
KOCHA wa Yanga, Miguel Gamondi amekiri kusikia kelele nyingi kutoka kwa baadhi ya mashabiki wa soka hasa wale wa Msimbazi wakiponda usajili uliofanywa na...

BAADA YA KUSAJILIWA NA YANGA PRINCE DUBE AFUNGUKA…NAFURAHI KUWA YANGA.

0
Mshambuliaji wa Yanga SC, Prince Dube amesema kuwa anafurahia kusajiliwa na Klabu hiyo kwani ilikuwa ndoto yake ya muda mrefu kucheza soka kwenye klabu...

UTABIRI WA SOKA LA BONGO UMETIMIA…AWESU AVAA JEZI YA SIMBA

0
Klabu ya Simba imetambulisha kiungo mshambuliaji Awesu Awesu kutoka KMC kwa mkataba wa miaka miwili. Awesu amejiunga na Simba akiwa mchezaji huru baada ya kununua...

MGANDA WA YANGA AKATWA KICHWA…KUSAJILIWA MWINGINE WA KIGENI

0
BAADA ya beki wa kati Mganda Gift Fred kudaiwa kwamba amekosa namba kwenye kikosi cha Yanga, hivi sasa inaelezwa timu hiyo itamtoa kwa mkopo...

CHAMA, DUBE, ABUYA, BALEKE WAIPA SERIKALI MAMILIONI

0
Uhamisho wa wachezaji wa kimataifa wa Yanga, Cleatus Chama, Prince Dube na Duke Abuya utainufaisha serikali mamilioni ya fedha. Msajili wa Vyama vya Michezo wa...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS