Tag: usajili
HAYA HAPA MAAJABU MATANO YA KIPA MBRAZIL WA SIMBA
Klabu ya Simba SC imesajili Mlinda Lango kutoka Brazil Jefferson Luis kwa mkataba wa miaka miwili akitokea Resende ya nchini kwao akitarajiwa kuwa namba...
SIMBA WAFUNGUKA KUHUSU SAKHO KUTIKA, KILA KITU SASA HADHARANI
Klabu ya Simba SC imefikia makubaliano na Klabu ya Quevilly Rouen Metropole (QRM) ya nchini Ufaransa katika usajili wa Kiungo Mshambuliaji kutoka nchini Senegal...
CV ZA KIPA MPYA WA SIMBA NI HATARI, MBRAZILI ANABALAA HUYU
Simba imemtambulisha kipa kutoka Brazil Luis Jefferson ikimsainisha mkataba wa miaka miwili kuitumikia timu hiyo hadi mwaka 2025.
Kipa huyu mwenye umri wa miaka 29,...
KIKOSI CHA SIMBA KINAZIDI KUIMARIKA, MWINGINE HUYU HAPA KATUA MSIMBAZI
KLABU ya Simba imemtambulisha mlinda mlango Jefferson Luis Szerban de Oliveira Junior kutoka Resende ya kwao, Brazil kuwa mchezaji wake mpya kuelekea msimu ujao.
Jefferson...
MASHABIKI WA SIMBA MZUKA UMEPANDA, UNAJUA KWANININI? ISHU IKO HIVI
MASHABIKI wa Simba mzuka umepanda. Unajua kwa nini? Wamepata taarifa kwamba katika kambi ya timu hiyo iliyopo Uturuki, ametua kipa kutoka Brazili, Jefferson Luis...
MRITHI WA MKUDE SIMBA SC, ATUPA JIWE GIZANI AKIWALENGA YANAGA
Kiungo Mkabaji mpya wa Simba SC, Abdallah Hamis ameshukuru mapokezi makubwa aliyoyapata ndani ya timu hiyo, huku akiahdi kubeba mataji yote watakayoshindania katika msimu...
MSHAHARA WA LUIS MIQUISSONE HAPO SIMBA NI KUFURU
WAKATI kundi la mwisho la wachezaji wa Simba likijianda kupaa jana kwenda kambini Ankara, Uturuki, winga anayerejeshwa Msimbazi kutoka Al Ahly ya Misri, Luis...
RUNGU LA YANGA LATUA KWA BANGALA
Rasmi Kiungo Mkabaji kutoka DR Congo, Yannick Bangala huenda asiwepo katika kikosi cha Young Africans cha msimu ujao hiyo ni mara baada ya jezi...
MZIMU WA MAYELE WAENDELEA KUSAKAMA YANGA, KUMPATA MRITHI WAKE MAJANGA, MPOLE...
Baada ya taarifa za kuuzwa kwa nyota wa Yanga, Fiston Mayele, ambaye anakwenda kujiunga na Pyramid ya Misri, mawazo sasa kwa uongozi wa mabingwa...
SKUDU NA SAKATA LA JEZI YA FEI TOTO YANGA
Nyota mpya wa Yanga,Mahlatse Makudubela’Skudu’ amesema hakuchagua kutumia jezi namba sita bali alichaguliwa.
Skudu amezungumza hayo leo muda mfupi kwenye mkutano na waandishi wa habari...