Tag: usajili
WINGA MPYA WA YANGA KUTUA NCHINI, BAADA YA TETESI ZA MUDA...
Fujo za usajili zinaendelea kwa ajili ya msimu ujao ni baada ya Yanga kumtumia tiketi ya Ndege, winga wa Klabu ya AS Maniema Union...
BAADA YA VUGUVUGU LA KUACHWA WACHEZAJI WENGI… WAKALA WA JEAN BALEKE...
Mukandila ni mmiliki wa Kampuni ya uwakala ya Bro Soccer Management inayowasimamia wachezaji 20 na Kocha mmoja.
Yeye na Martin Lubula ndio wako nyuma ya...
YANGA IMERUDI KWA KAZE, YAMPA OFA HIZI HAPA MBILI SIO POA
Klabu ya Yanga imerudi tena kwa kocha wao msaidizi, Mrundi, Cedric Kaze na kumpa ofa mbili, kati ya hizo achague moja itakayomrejesha na kumpa...
SIMBA, YANGA WAWEKA WAZI MALENGO YA USAJILI WAO DIRISHA KUBWA LA...
Dirisha la usajili kwa klabu za ligi kuu ya NBC (NBCPL), ligi daraja la kwanza (Championship) na ligi kuu wanawake (SLWPL) limefunguliwa kuanzia Julai...
ROBERTINHO ANOGESHA USAJILI WA SIMBA AJA NA MDAKA RISASI KUTOKA BRAZILI……...
WAKATI Kocha Mkuu wa Simba, Robertinho Oliveira, akiwasili nchini alifajiri ya jana pamoja na kipa mpya, Mbrazili Caique Luiz Santos da Purificacao, klabu hiyo...
ONYANGO NA SIMBA MAMBO MAGUMU… ONYANGO KUTIMKIA HUKU SASA…
KWA sasa ni suala la muda tu, ila kuanzia muda wowote kuanzia sasa beki Mkenya Joash Onyango na straika Habib Kyombo watapewa 'Thank You'...
SIMBA SC WASHIKWA PABAYA….. BANDA, ONYANGO WALIAMSHA ‘DUDE’….
Imefahamika kuwa Uongozi wa Simba SC bado haujamalizana na wachezaji wake wawili walioomba kuondoka kikosini hapo, winga Mmalawi, Peter Banda na Mkenya Joash Onyango.
Simba...
SIRI YA AZAM FC KUSAJILI WASHAMBULIAJI YAFICHUKA…USAJILI WA FEI TOTO WATAJWA…
Azam FC imekamilisha usajili wa washambuliaji Alassane Diao, Gibril Sillah na Feisal Salum jambo ambalo ni kama vile wadau wengi wanaona wanajaza wachezaji wengi...
SIMBA WAZIDIWA AKILI NA YANGA, KWA STAA HUYU WA KONGO
Achana na tripu ya Malawi ambayo wanaenda Wachezaji mseto, Yanga inachanga karata zake wa mwisho kukamilisha usajili wake kabla ya kuingia rasmi kambini wiki...
WINGA HUYU HATARI ATHIBITISHA KUSAJILIWA NA SIMBA…
Habari njema kwa mashabiki na wapenzi wa klabu ya SIMBA ni kunaswa kwa saini ya winga wa maana anayejua kazi na mbio mithiri zenye...