Tag: usajili
SIMBA YAHAMIA KWA MNIGERIA…DILI LA MPANZU NGUMU KUMEZA
UONGOZI wa Simba umeanza mazungumzo na Sporting Lagos FC ya Nigeria ili kupata saini ya winga wa kikosi hicho, Jonathan Alukwu, ikiwa itashindwa kumpata...
FADLU DAVIDS AANZA KAZI SIMBA…KIBU D AONGEZA MZUKA
KAZI imeanza. Baada ya kocha mkuu mpya wa Simba, Fadlu Davids kutua kambini juzi jioni na jana kuanza rasmi kazi ya kukinoa kikosi hicho,...
NUNGUNUNGU ALIWA KICHWA JANGWANI…KAMWE AFUNGUKA
Taarifa zinaeleza kua kiungo wa zamani wa klabu ya Simba Jonas Mkude "Nungunungu" huenda akapewa mkono wa kwaheri ndani ya klabu ya Yanga baada...
YANGA WANATAMABA NA TIMU YAO…ALI KAMWE HAAMBILIKI
UONGOZI wa Mabingwa wa Kihistoria Yanga umebainisha kuwa una timu bora kwa sasa kutokana na usajili bora waliofanya kwa wachezaji wazuri na kuhakikisha wachezaji...
CHAMA AMUONDOA MUDATHIR YANGA…GAMONDI MTEGONI
USAJILI WA KIUNGO Clatous Chama ni furaha kwa mashabiki wa Yanga lakini huenda ukawa ni mtihani mzito sana kwa Mudathir Yahya ambaye nafasi ya...
BALEKE ALIAMSHA YANGA…AONEKANA MAZOEZINI.
MSHAMBULIAJI wa zamani wa Simba, Jean Baleke Inaelezwa kuwa amesaini mkataba wa mwaka mmoja Yanga, baada ya kufuzu vipimo vya afya juzi na tayari...
MIGUEL GAMONDI…KAWEKA WAZI KIKOSI CHAKE.
Kocha wa Yanga, Miguel Gamondi amesema licha ya usajili wa mastaa waliosajiliwa katika timu hiyo, hana hofu ya kupanga kikosi.
Gamondi amesema kikosi kitakuwa kinapangwa...
ISREAL MWENDA AJIPIGA KITANZI…ASAINI TIMU MBILI KUMKWEPA KAPOMBE…KIJIRI NAE NDANI
LICHA ya kikosi chote kipya cha Simba kuwa kambini Ismailia, Misri, hiyo haijawazuia mabosi wa klabu hiyo kuendelea kushusha mashine mpya, baada ya kumnasa...
GAMNDI AFUNGUKA KUHUSU USAJILI WA YANGA…AOMBA JAMBO MOJA.
KOCHA Mkuu wa Yanga Miguel Gamondi amesema kuwa anafurahishwa na usajili ambao umefanywa na uongozi wa kuleta MASTAA.
Lakini wanahitaji muda wachezaji Wote wapya kuzoea...
ALIYETEMWA SIMBA ATAMBULISHWA JKT TANZANIA…JOHN BOCCO NI MWANAJESHI
Simba ilitangaza kuachana na John Bocco kama mchezaji wa kikosi chao katika msimu mpya wa 2024/25 lakini kabla ya msimu wa 2023/24 kuisha tayari...