Tag: usajili
ULINZI WA LAMECK LAWI USIPIME…AONEKANA UBALOZI WA UBELGIJI
SIMBA Imetia timu na kuweka kambi Ismailia nchini Misri ikijiandaa na msim mpya bila kuwepo kwa mchezaji waliyemtambulisha Lameck Lawi.
Kwani ko pande zipi? Popote...
JEMEDARI SAID: AZIZ KI AMESAINI MKATABA YANGA…CR BELOUIZDAD YATUMA OFA
"AZIZ KI ALISHASAJILIWA YANGA SC KITAMBO, ZINGINE MBWEMBWE TU ILI KULETA MVUTO KWENYE UTAMBULISHO WAKE."
Mchambuzi Nguli wa Soka nchiniΒ Jemedari Said Bi Kanzumari amesema...
AZIZ KI ATUA BONGO KININJA…YANGA YAMFICHA HOTELINI
Taarifa itakayowashusha presha mashabiki wa Yanga ni kwamba hatimaye kiungo mshambuliaji wa timu hiyo, Stephanie Aziz KI, amewasili nchini huku akitolewa Uwanja wa Ndege...
MO DEWJI…TUMESAJILI KWA KUZINGATIA MAHITAJI
Mwekezaji na Mwenyekiti wa Simba, Mohammed Dewji (MO), amesema wamefanya usajili kwa kushirikiana na benchi la ufundi na maskati kutoka mataifa zaidi ya 50,...
ANDABWILE NI MALI YA YANGA…YANGA YAIJIBU SIMBA
KLABU ya Yanga imekamilisha usajili wa kiungo mkabaji, Aziz Andabwile kutoka Singida Fountain Gates kwa mkataba wa miaka miwili.
Kiungo huyo amejiunga na Yanga kuongeza...
DUCHU AOMBA KUONDOKA SIMBA…HAJASAFIRI NA TIMU
SIMBA huenda ikamtoa kwa mkopo beki wake wa kulia, David Kameta βDuchuβ baada ya kushindwa kupata nafasi katika kikosi cha kwanza cha timu hiyo...
SIMBA KUACHANA NA KIPA WAO…SABABU NI HIZI
MABINGWA wa Ligi ya Wanawake SIMBA Queens msimu ujao haitaendelea na kipa wa timu hiyo, Zubeda Mgunda baada ya kumaliza mkataba wake mwishoni mwa...
YANGA YAIJIBU SIMBA…MCHONGO UKO HIVI…SHUKA NAYO
YANGA Ilikuwa ya kwanza kumfuata Yusuph Kagoma na kumsainiha mkataba wa awali, lakini Simba ikaingilia dili hilo na kupita nae kimafia.
MCHONGO MZIMA ULIKUWA HIVI.
Yanga...
MO DEWJI AONESHA JEURI YA PESA…BIL 6 KUFANYA USAJILI TU
KWELI TAJIRI KAVUNJA BENKI, Unaweza kusema kivyo baada ya Muwekezaji na Raisi wa Heshima wa Simba Mohamed Dewji kuiwezesha SIMBA, kufanya fujo ya usajili...
NI MARUFUKU KUVAA JEZI ZA YANGA…MANGUNGU NA MO DEWJI WAWEKA KIPINGAMIZI
KABLA YA Kusafiri kwenda Misri kwaajili ya Manadalizi ya Msimu mpya, Simba ilijifungia kwenye hoteli moja eneo la Mbezi Beach na kufanya kikao kizito.
Katika...