Home Tags Usajili

Tag: usajili

MAPYA YAIBUKA…SAKATA LA AZIZI K YANGA..HERSI AFUNGUKA

0
Rais wa Yanga, Mhandishi Hersi Said amesema hadi sasa kiungo wa klabu hiyo, Stephen Aziz Ki hajasaini mkataba mpya na kwamba mazungumzo yanaendelea na...

KIBWANA SHOMARI YUPO SANA YANGA.

0
UONGOZI wa klabu ya Young Africans SC, umemuongeza mkataba wa miaka miwili beki wao wa kulia, Kibwana Shomari kuendelea kuitumikia klabu hiyo, mkatab huo...

LAMECK LAWI AICHOMOLEA SIMBA KWEUPEE..YUPO DAR NA TIMU YAKE

0
HUENDA Ulikuwa unafikiria Simba itasafiri na wachezaji wake wote kwenda Misri kwaajili ya Pre Season, lakini haipo hivyo beki Lameck Lawi yupo zake Dar...

ALIYEGOMEA MKATABA YANGA…ATAMBULISHWA SIMBA

0
KLABU YA Simba SC Imetangaza kuinasa saini ya Kiungo wa Ulinzi Yusuph Kagoma (28) kwa mkataba wa miaka mitatu hadi msimu wa 2026/2027. Awali mchezaji...

NDOTO YA YANGA ILIYOHAMIA SIMBA…FEI TOTO ANUKIA MSIMBAZI

0
BAADA ya mawindo ya muda mrefu, Yanga imefanikiwa kupata saini ya kiungo Mzambia Clatous Chama kutoka Simba na tayari imemtambulisha. Ilikuwa ndoto ya Wanajangwani...

MUDA WOWOTE BALEKE KUTAMBULISHWA YANGA…STORI IKO HIVI

0
HUENDA ukawa ni mshituko mwingine kwamba baada ya Yanga kumbeba Clatous Chama kutoka Simba na Prince Dube aliyekuwa Azam, sasa inafanya mipango ya kumshusha...

SIMBA YAVIUNGO IMERUDI…WAPINZANI MJIANDAE

0
Usajili wa Augustine Okejepha kutoka Rivers United kuja Simba unaashiria kazi ngumu iliyopo mbele ya kocha mpya wa timu hiyo, Fadru Davids katika upangaji...

MASTAA SIMBA WASHUSHA PRESHA…MO DEWJI ARUDI NA SPIDI 120

0
"NYIE TULIENI TU" Ndivyo ambavyo mastaa wa Simba walivyotoa ahadi mbele ya kikao kizito kilichoitishwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi na Rais wa...

SIMBA YASHUSHA MRITHI WA INONGA…CHAMOU KARABOUE…BALAA LAKE NI HILI

0
Klabu ya Simba imefanikiwa kuinasa saini ya mlinzi wa kati, Chamou Karaboue raia wa Ivory Coast kutoka klabu ya Racing Club d’ Abidjan kwa...

MRITHI WA LOMALISA ATAMBULISHWA YANGA…CHADRACK BOKA YUPO AVIC

0
Yanga imethibitisha kukamilisha usajili wa mlinzi wa kushoto Chadrack Boka kutoka klabu ya FC Lupopo ya DR Congo kwa mkataba wa miaka miwili. Ilikuwa ni...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS