Tag: usajili
YAMETIMIA…KAZINI KWA TSHABALALA KUNA KAZI…VALENTIN NOUMA NI MNYAMA
ILIKUWA NI JUNI 29, Tangu habari hii ichapishwa kwa mara ya kwanza hapa Soka la Bongo na hatimae leo imekuwa rasmi, baada ya miaka...
MAKOCHA, WACHEZAJI, WACHAMBUZI WATOA NENO USAJILI WA SIMBA…AHOU VS CHAMA
WADAU wa Soka mbalimbali wakiwemo makocha wa Zamani wa Simba, wachezaji na wachambuzi wameonekana kutupia jicho zaidi kwenye sajili za Simba, huku kubwa zaidi...
JEAN AHOUA NA MZIMU WA CHAMA SIMBA…UBORA WAKE UKO HAPA
Kiungo mshambuliaji kutoka Ivory Coast, Jean Charles Ahoua anakabiliwa na mtihani mzito wa Clatous Chama.
Usajili huo umekuwa gumzo kwa mashabiki wa Simba wakiamini nyota...
YANGA YAANZA NA GUEDE…AMPISHA MGHANA & BALEKE
MSHAMBULIAJI aliyemaliza na mabao sita katika Ligi Kuu Bara na matatu ya Kombe la FA na moja la Ligi ya Mabingwa Afrika msimu uliopita...
HABARI ZA USAJILI…MOLOKO WA YANGA KURUDI BONGO
UNAMKUMBUKA yule winga teleza wa zamani wa Yanga, Jesus Moloko? Unaambiwa jamaa baada ya kumaliza mkataba aliokuwa nao na klabu ya Al Sadaqa SC...
CHADRACK BOKA ATUA BONGO USIKU WA MANANE…YANGA YAMFICHA HOTELINI
SAA chache kabla ya kambi mpya ya Yanga kwa ajili ya msimu ujao wa mashindano kuanza kesho Jumatatu, mabosi wa klabu hiyo wakimpokea beki...
FELIX SUNZU: SIMBA IMELAMBA DUME…ATOA TAHADHARI KWA MUTALE
Straika wa zamani wa Simba, Felix Sunzu akizungumzia usajili wa kiungo mshambuliaji mpya wa timu hiyo, Joshua Mutale kutoka Zambia amesema kwamba timu hiyo...
SIMBA YASHUSHA MCONGO…VIUNGO WAWILI WATAMBULISHWA
KLABU ya Simba imethibitisha kumsajili kiungo mkabaji Debora Fernandes kwa mkataba wa miaka mitatu.
Mchezaji huyo aliyesajiliwa na Wekundu hao wa Msimbazi akitokea Klabu ya...
PRINCE DUBE ADUI WA SIMBA ATAMBULISHWA YANGA…KIMAFIA ZAIDI
Nyota wa zamani wa Highlanders FC ya Bulawayo Zimbabwe ya Mugabe, Alipita Super Sports United ya Pretoria na akatamba pia Black Leopard zote kwa...
IBENGE ATETA NA CHAMA & AZIZ KI…AFICHUA KILICHO MUAONDOA CHAMA...
Florent Ibenge Kocha mku wa Al Hilal amemzungumzia nyota mpya aliyesajiliwa na Yanga kutoka Simba, Clatous Chama na kilichomkwamisha kufanya vizuri Morocco, huku akitia...