Tag: YANGA
ALLY KAMWE AJA NA MKWARA WA 5G DHIDI YA AL AHLY
Wakati wakijiandaa na mchezo wa pili hatua ya Makundi dhidi ya Bingwa mtetezi Al Ahly katika Uwanja wa Mkapa.
Afisa habari wa Yanga Ali Kamwe...
SKUDU,KONKON NA YANGA KUNA KITU HAKIPO SAWA HAPA
Yanga imefanya usajili mzuri msimu huu. Iko wazi. Wachezaji kama Yao Kouassi, Pacome Zouzoua, Maxi Nzengeli, Nickson Kibabage ni wachezaji mahiri. Lazima tuwapongeze kwa...
GAMONDI ATAJA SABABU ZA KUPOTEZA MCHEZO WAO KIMATAIFA…… AL AHLY YATAJWA...
Wakati Yanga ikirejea leo alfajiri ikitokea Algeria, kocha wao Miguel Gamondi amesitisha kutoa mapumziko kwa wachezaji wake huku akifichua siri ya kupoteza mechi yao...
HAWA SIMBA, YANGA MBONA KAMA WANATULETEA UTANI KIMATAIFA
Simba na Yanga wote wameanza vibaya katika michuano ya ligi ya mabingwa Afrika kwenye hatua ya makundi baada ya kushindwa kupata ushindi.
Hii ni kama...
JENGO LA YANGA LAPIGWA MNADA KISA HIKI HAPA
Mara kwa mara jengo la Klabu ya Yanga limekuwa katika hatihati ya kutaka kupigwa mnada na Benki ya Nyumba (THB).
Ni miaka ya hivi karibuni...
BAADA YA KUBANJULIWA 3-O JANA….JEMEDARI SAID KAIBUKA NA ‘DONGO’ HILI...
Klabu ya Yanga 'Wananchi' wameianza hatua ya makundi kwa kichapo cha mabao 3-0 katika mchezo wa kwanza wa Makundi baada ya kukubali kufungwa na...
HIKI HAPA NDIO KILICHOWAPONZA YANGA DHIDI YA WAARABU
Kwenye hii michuano mikubwa unahitaji wachezaji wako wote wawe na siku nzuri kazini ili uweze kufanya vizuri.
Yanga jana wamem-miss Djigui Diarra golini hivyo build-up...
BAADA YA WANANCHI KUSHINDWA KUTAMBA….. HAYA LEO NI MTOKO WA WENYE...
INGEKUWA ni kadi ya mnuso, ingesomeka; “Mashabiki bora wa AFL leo wanalialika Taifa kwenye Mtoko wa Kimataifa utakaofanyika saa 10 Jioni kwenye Uwanja wa...
HAPA SIMBA,PALE YANGA, HUKU HESHIMA PALE REKODI SIO POA HUKO LIGI...
KWA mara ya kwanza kwenye soka la Tanzania, klabu za Simba na Yanga zinatengeneza historia kwa kucheza kwa pamoja hatua ya makundi ya Ligi...
YANGA WASHINDWA KUTAMBA UGENINI, WAPOKEA KIPIGO KIZITO
MABINGWA wa Tanzania, Yanga SC wameanza vibaya hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kuchapwa mabao 3-0 na wenyeji, CR Belouizdad...