SABABU ZA JOB KUWA BENCHI, GAMONDI AFUNGUKA KILA KITU
Baada ya kumalizika mchezo wa hatua ya awali ya Ligi ya Mabingwa barani Afrika kati ya Yanga SC dhidi ya Asas kutoka Djibouti na Yanga…
Baada ya kumalizika mchezo wa hatua ya awali ya Ligi ya Mabingwa barani Afrika kati ya Yanga SC dhidi ya Asas kutoka Djibouti na Yanga…
Ofisa Habari wa Klabu ya Yanga, Ally Kamwe amesema kuwa nafasi yao ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu uko palepale licha…
Wakati wadau na mashabiki wa soka wakijiuliza hatima ya beki Mamadou Doumbia ndani ya Yanga kutokana na kutoonekana kikosini pia akiwa hajapewa ‘Thank You’ kama…
Uongozi wa Yanga umempa barua ya kumuacha huru aliekuwa mlinzi wake wa kulia Raia wa Jamhuri ya Congo Djuma Shaban. Beki huyo ambaye alikuwa tegemezi…
Kesho Agosti 20 katika Uwanja wa Azam Complex utachezwa mchezo wa Ligi ya Mabingwa barani Afrika mchezo utakaowakutanisha mabingwa wa Ligi ya Djibouti ASAS na…
Kocha wa zamani wa Yanga,raia wa Uganda Sam Timbe amefariki dunia mchana wa leo baada ya kuugua ghafla na mauti yakamfika wakati anapelekwa hospitali. Mpaka…
Pazia na michuano ya kimataifa kwa msimu wa 2023-2024 lilifunguliwa Jana Agosti 18 kwa mechi za raundi ya awali ya Ligi ya Mabingwa na Kombe…
Unaweza kusema kiungo Khalid Aucho ameanza na gia kubwa msimu huu. Kiungo huyo wa Kimataifa kutoka Uganda alin’gara katika kikosi cha Yanga kwenye mechi mbili…
Wakati wadau na mashabiki wa soka wakijiuliza hatima ya beki Mamadou Doumbia ndani ya Yanga kutokana na kutoonekana kikosini pia akiwa hajapewa ‘Thank You’. Taarifa…
Klabu ya Yanga imethibitisha kuwa winga wake Mahlatse Makudubela ‘Skudu’ ameondoka nchini jana kurudi kwao Afrika Kusini kwa ajili ya kushughulikia zoezi la kupata hati…