Tag: YANGA
KATWILA AFUNGUKA KUHUSU MCHEZO WA YANGA
Baada ya kuipa Ihefu FC pointi tatu dhidi ya Yanga, kabla hajatupiwa virago kocha mkuu wa Mtibwa Sugar, Zuberi Katwila amesema hana presha na...
YANGA SASA FRESH
Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) limeiondolea klabu ya Yanga adhabu ya kufungiwa kusajili wachezaji baada ya kumlipa mchezaji Gael Bigirimana.
Bigiramana alikuwa mchezaji wa...
KAMA SEZONI LA KIKOREA … SASA VITA IMEHAMIA LIGI KUU, HAPA...
Baada ya kuambulia matokeo mabaya kwenye Michuano ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika, Miamba ya Soka la Bongo Simba SC na Young Africans inatarajia...
MTIBWA SUGAR WAVUTWA MAJI MAREFU KIMATAIFA
Wakati Kocha Mkuu wa Young Africans, akianika mikakati yake kuelekea mechi mbili za nyumbani za Ligi ya Mabingwa Barani Afrika dhidi ya Medeama FC...
YANGA CAFCL WARUDISHA AKILI KWA MKAPA BAADA YA KUSHINDWA KUTAMBA UGENINI
Baada ya kutoka sare ya bao 1-1 ugenini dhidi ya Medeama juzi, mechi mbili zijazo za nyumbani zimeshikilia kwa kiasi kikubwa ndoto za Yanga...
YANGA WABORESHA KIKOSI KAZI, WAMBA WATATU HAWA HAPA KUTUA JANGWANI
Kikosi cha Yanga kimerejea jijini Dar es Salaam kutoka Kumasi, Ghana ilipoenda kucheza mechi ya Kundi D ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya...
ONYO HILI LAMFUATA LOMALISA HUKOHUKO NJE YA UWANJA
Akiwa nje akiendelea kuuguza majeraha yake ya kifundo cha mguu ‘enka’, beki wa kushoto wa Yanga, Joyce Lomalisa amepewa onyo hiyo, Moses Etutu.
Beki huyo...
YANGA NA HESABU HIZI ZA KUVUKA MAKUNDI CAF
Matokeo ya suluhu iliyoipata Al Ahly nyumbani Cairo dhidi ya CR Belouizdad yameifanya Yanga kuwa na matumaini ya kufuzu robo fainali ya Ligi ya...
HII ROBO FAINALI SIMBA, YANGA BADO KITENDAWILI
Michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, hatua ya makundi inaendelea kwa kuingia raundi ya tatu wikiendi hii, leo kukiwa na mechi tatu ikiwamo ya...
KWA TAKWIMU HIZI WANANCHI WATATOBOA LEO DHIDI YA MADEAMA
Ligi ya Mabingwa Afrika inaendelea kurindima tena leo Desemba 8, 2023 huku Wawakilishi wa NCHI, Young Africans SC wakitupa karata yao ya tatu ya...