Tag: yangasc
MAYELE AWEKA REKODI HII YANGA…APEWA JEZI YA HESHIMA…ISHU NZIMA IKO HIVI
Mshambuliaji wa Yanga, Fiston Kalala Mayele leo Jumamosi, Aprili 29, 2023 amekabidhiwa jezi maalum namba 50 inayomanisha idadi ya mabao hamsini (50) aliyofunga hadi...
TEGETE AWACHANA MAKAVU YANGA…”ACHENI DHARAU”…AMEZUNGUMZA HAYA
Kocha mkongwe nchini, John Tegete amesema kama Yanga
wakiongeza kasi kidogo basi msimu huu itatinga fainali ya Kombe ya Kombe la Shirikisho Afrika na kuwashangaza...
KOCHA YANGA AMWAGA SIRI NZITO…ATATUMIA MBINU HIZI KUWAANGAMIZA RIVERS
Kocha Mkuu wa Yanga, Nasreddine Mohammed Nabi amesema kuwa katika mchezo wa kesho dhidi ya Rivers United, hatapaki basi badala yake atashambulia na kujilinda...
HAKUNA ANAYEWEZA KUNIPANGIA KIKOSI CHANGU…MASHABIKI TULIENI…”NABI
Kocha Mkuu wa Yanga, Nasreddine Mohammed Nabi amewataka mashabiki wa soka nchini kuacha tabia ya kuwapangia vikosi makocha wao kwa ajili ya mchezo husika...
WAZIRI MKUU AWAPA SHAVU HILI YANGA MECHI NA RIVERS…ISHU NZIMA IKO...
Wakati homa ya mchezo wa Yanga dhidi ya Rivers ikizidi kupanda Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa Kassim ameiunga mkono kampeni ya kununua tiketi...
WAPINZANI WA YANGA HALI TETE…WANA NJAA HATARI TIMU HAINA PESA…JE WATAKUJA?
Zikiwa zimebaki siku mbili tu kwa Yanga kucheza mchezo wa marudiano hatua ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Rivers United...
MAYELE AWEKA REKODI HII MPYA…KOMBE LA SHIRIKISHO BARANI AFRIKA
Goli la kwanza alilofunga Mshambuliaji wa Yanga SC, Fiston Mayele kwenye mchezo dhidi ya Rivers United limechaguliwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Barani...
HUYU HAPA REFA ATAKAYECHEZESHA MECHI YA YANGA…KUMBE ALICHEZESHA MECHI YA PSG...
Shirikisho la Soka Barani Afrika 'CAF' limemteua mwamuzi,
Redouane Jiyed wa Morocco kuchezesha mchezo wa Mkondo wa Pili wa Robo Fainali, Kombe la Shirikisho barani...
HALI YA HATARI YATANGAZWA YANGA SC…WACHORWA NJE NDANI…ISHU NZIMA IKO HIVI
Kocha Mkuu wa Singida Big Stars, Hans Pluijm amesema atahakikisha kikosi chake hafanyi makosa hata kidogo, katika michezo miwili mfululizo itakayowakutanisha na Young Africans...
TATIZO WABONGO TUNADHARAU SOKA LETU…SIMBA NA YANGA NI TISHIO KUBWA CAF
Bado mpira wetu una mapungufu mengi, wala tusiache kurekebisha. Bado mpira wetu una watu wengi tu wapigaji, wala tusikae kimya. Lakini kuna mahali tumepiga...