Home Tags Yangasc

Tag: yangasc

ISHU YA FEI TOTO YAPAMBA MOTO…CHAMA CHA WACHEZAJI KIMEINGILIA KATI

0
Mwenyekiti wa Chama cha Wachezaji Tanzania 'SPUTANZA' Mussa Kisoki imeingilia kati sakata la Kiungo kutoka visiwani Zanzibar Feisal salum 'Fei Toto' dhidi ya klabu...

HATIMAYE NABI AITUMIA MASHINE YAKE MPYA NI HATARI…TAKWIMU KAMILI HIZI HAPA

0
Kocha Mkuu wa Yanga Nasreddine Nabi juzi Aprili 11, 2023 alimtumia kwa mara ya kwanza beki Mamadou Doumbia katika mchezo wa ligi kuu ya...

YANGA ACHENI KUMKOMOA FEI TOTO…VAENI VAZI LA UZAZI…MWACHENI AONDOKE

0
Yanga ni kubwa kuliko Fei, Yanga inafanya vizuri bila Fei., Yanga ipo robo fainali Kombe la Shirikisho Afrika bila Fei, Yanga ilikuwepo kabla ya...

NABI AVUNJA UKIMYA YANGA…AMEFUNGUKA HAYA YA MOYONI…MCHEZAJI HUYU ANAMKOSHA

0
Kocha wa Yanga, Nasridenne Mohammed Nabi ameshtushwa na kukuoshwa na Kazi ya maana anayoifanya kitasa chipukizi Ibrahim Abdullah "BACCA" Nabi alisema Bacca ameonyesha uimara mkubwa...

AZIZ KI AWEKA REKODI MPYA YANGA…CHAMA AANGUKIA PUA SIMBA…ISHU NZIMA IKO...

0
Stephane Aziz Ki amefunga mabao 4 katika Nbc Premier League tangu ulipoanza mwaka 2023, ni wachezaji wawili pekee waliofunga mabao mengi kuliko yeye kuanzia...

NTIBANZOKIZA AMBURUZA MAYELE….SIMBA NA YANGA ZAPASUKA KICHWA

0
Kiungo Mrundi wa Simba SC, Saido Ntibanzokiza ndiye mchezaji aliyehusika kwenye mabao mengi zaidi katika msimu huu wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara hadi...

YANGA:-“FEI TOTO ACHA UJEURI…HUWEZI KUSHINDANA NA KLABU…ISHU NZIMA IKO HIVI A-Z

0
Klabu ya Yanga imemtaka mchezaji wao, Feisal Salum Abdallah 'Fei Toto' kuacha ujeuri na kuitunishia misuli klabu yake hiyo badala yake afuate taratibu ikiwemo...

NABI ATEMA CHECHE HIZI YANGA…”SIO RAHISI KUPATA USHINDI

0
Kocha Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi amewataka wachezaji wa timu hiyo kuhakikisha wanapata matokeo katika mchezo wao ujao dhidi ya Simba kwa lengo kuweza...

KIPA ORLANDO AIGOPA SIMBA…AWATONYA HAYA WYDAD CASABLANCA

0
Kipa wa Orlando Pirates Richard Ofori amewapa tahadhari Wydad Casablanca na kuwaambia wawe makini wanapotua kwenye Uwanja wa Mkapa jijini Dar es Salaam. Wydad ambao...

HATIMAYE YANGA WAFUNGUKA…ISHU YA FEISAL SALUM “FEI TOTO”…WAMEZUNGUMZA HAYA

0
Kiungo wa Yanga, Feisal Salum 'Fei Toto' leo Aprili 12 alifika mbele ya Kamati ya Sheria na Hadhi za wachezaji kujua hatma ya barua...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS