JEURI NYINGINE YAREJEA YANGA
KIUNGO wa Yanga, Mudathir Yahaya, na mshambuliaji Clement Mzize, wameanza kuonekana tena uwanjani baada ya kupona majeraha yaliyokuwa yakiwasumbua kwa muda.
Kurudi kwao kambini kumeongeza...
NAJJAR AIVURUGA YANGA VIBAYA
MENEJA Mkuu wa Singida Black Stars, Othmen Najjar, ameonekana kulivuruga benchi la ufundi la Yanga baada ya kuchukua uamuzi wa kumrejesha kiungo Marouf Tchakei...
SIMBA NAFASI TANO KUIMARISHA KIKOSI
KOCHA Mkuu wa Simba SC, Steve Barker, ameweka wazi mpango wa usajili wa klabu hiyo katika dirisha dogo la mwezi Januari, amesisitiza kuwa timu...
SIKU YA USHINDI NA MERIDIANBET IMEFIKA
Je unajua kuwa siku ya leo ni nzuri sana endapo utabashiri jamvi lako na Meridianbet?. ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa....
GOCALVES ATAKA KIKOSI KAMILI, HAKUNA MASIHARA
KOCHA Mkuu wa Yanga, Pedro Gocalves ameweka msimamo mkali kuhakikisha timu yake inaingia kwenye fainali ya Kombe la Mapinduzi ikiwa katika ubora wa hali...
SIMBA YAREJEA KAMBINI KUJIANDAA
KIKOSI cha Simba SC kimeanza rasmi maandalizi yake leo Jumapili, Januari 11, 2026 uwanja wa Mo Simba Arena, kikielekeza nguvu kwenye michuano ya Ligi...
UKUTA WA SINGIDA UNAVUJA, KOCHA ATIA NENO
SINGIDA Black Stars imeondoshwa hatua ya nusu fainali ya Kombe la Mapinduzi 2026, huku safu yao ya ulinzi ikionekana kutokuwa imara katika kujilinda.
Timu hiyo...
WACHEZAJI WATATU AZAM WATENGWA
WAKATI bingwa wa kihistoria wa Kombe la Mapinduzi, Azam FC ikijiandaa kuikabili Yanga katika fainali ya michuano hiyo, kuna nyota watatu wametengwa kwa kupewa...
WAWILI YANGA WATUPWA NJE, MUDATHIR KIKOSINI
JANA usiku Yanga ilikuwa uwanjani kucheza mechi ya nusu fainali katika Kombe la Mapinduzi 2026 dhidi ya Singida Black Stars, huku taarifa njema zikiwa...
KAMWE ATUMA UJUMBE MZITO AZAM FC
OFISA Habari wa Yanga, Ali Kamwe ametuma ujumbe mzito kwa wapinzani wao Azam FC kuelekea fainali ya Kombe la Mapinduzi, akisisitiza kuwa atakuwepo kwenye...












