SARPONG: MUDA WANGU WA KUFUNGA BONGO UMEWADIA

0
 MSHAMBULIAJI wa Yanga, Mghana, Michael Sarpong, amesema kuwa anaamini wakati wake wa kufunga mabao ndani ya timu hiyo umeshafika baada ya kutambua ugumu wa...

BM HATAHATI KUIKOSA YANGA NOVEMBA 7

0
KIUNGO wa Simba, Bernard Morrison kuna hatihati akaukosa mchezo wa dabi ya Kariakoo unaotarajiwa kuchezwa Novemba 7 dhidi ya watani zao wa jadi Yanga. Kwa...

LIVERPOOL, MANCHESTER UNITED ZAIWINDA SAINI YA BERGMANN

0
BERGMANN Johannesson mwenye miaka 17 anayecheza ndani ya Klabu IFK Norrkoping amewekwa kwenye rada za mabosi wa Liverpool, Juventus na Manchester United wote wakiwania saini...

SIMBA KUSHUSHA WINGA MATATA

0
 INAELEZWA kuwa uongozi wa Simba upo katika mchakato wa kumshusha winga wa kimataifa wa Msumbiji, Pachoio Lau Há King ‘Lau King’ katika dirisha dogo...

MTIBWA SUGAR: AZAM FC WALIKUWA WANAKUTANA NA TIMU NDOGO

0
 UONGOZI wa Mtibwa Sugar umesema kuwa kikubwa ambacho kinawabeba ndani ya uwanja ni juhudi na kujituma kwa wachezaji wao matokeo mabaya ilikuwa ni mpito...

AZAM FC:HAIKUWA FUNGU LETU MTIBWA SUGAR

0
 UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa mchezo wao dhidi ya Mtibwa Sugar halikuwa fungu lao la kupata ndio maana wamepoteza kwa kufungwa bao 1-0.Azam...

MSIMAMO WA LIGI KUU BARA UPO NAMNA HII

0
 MSIMAMO wa Ligi Kuu Tanzania Bara upo namna hii

ISHU YA VIPIGO VIWILI MFULULIZO SIMBA YATOA TAMKO

0
 MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Bara, Simba chini ya Kocha Mkuu, Sven Vandenbroeck ambaye ni raia wa Ubelgiji akisaidiana na mzawa, Seleman Matola wamepoteza...

KOCHA YANGA: KAZI NDO KWANZA INAANZA

0
 KOCHA Mkuu wa Yanga, Cedric Kaze, amesema kuwa amefurahishwa na kuridhishwa na matokeo ya ushindi kwenye mechi zake mbili alizokaa kwenye benchi akiifundisha timu...

SAID NDEMLA AFIKIRIA KUKIPIGA SOKA LA KULIPWA NJE

0
SAID Ndemla, nyota wa Simba amesema kuwa hana hofu na uwezo wake ndani ya kikosi hicho anaamini kwamba ataweza kufikia malengo aliyojiwekea ikiwa ni...