NDANDA: TUPO TAYARI KUVAANA NA SIMBA
NGAWINA Ngawina, Kocha Mkuu wa Ndanda FC amesema kuwa kikosi chake kipo tayari kwa ajili ya mchezo wa leo Oktoba 13 dhidi ya Simba.Ndanda...
KMC KUMALIZA HASIRA ZOTE KWA WAGOSI WA KAYA
CHRISTINA Mwagala, Ofisa Habari wa KMC amesema kuwa baada ya timu hiyo kupoteza kwa kufungwa bao 1-0 dhidi ya Polisi Tanzania hasira zao ni...
HAJI MANARA: ZITAPIGWA GONGAGONGA NYINGI SANA LEO DHIDI YA NDANDA
OFISA Habari wa Simba, Haji Manara amesema kuwa mashabiki wajitokeze kwa wingi leo Uwanja wa Azam Complex kushuhudia burudani na gongagonga zitakazotolewa kutoka kwa...
WINGA MPYA WA YANGA KUANZA MAJUKUMU YAKE
WINGA Saidi Ntibazonkiza anayekipiga timu ya Taifa ya Burundi ambaye amesaini dili la mwaka mmoja na nusu ndani ya Klabu ya Yanga ataanza kutumika...
KANTE ANATAKA KUONDOKA CHELSEA
KIUNGO wa Klabu ya Chelsea raia wa Ufaransa, N'Golo Kante anaweza kuondoka ndani ya timu hiyo mwezi Januari baada ya kuzozana na Kocha Mkuu, Frank...
DUBE ATAKATA AZAM FC IKIPIGA 4G
PRINCE Dube, jana Oktoba 12 alikoingoza kikosi chake cha Azam FC kuubuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Fountain Gate kwenye mchezo wa...
BEKI MZAWA DAVID LUHENDE AINGIA ANGA ZA SIMBA NA YANGA
BEKI kisiki ndani ya Klabu ya Kagera Sugar, David Luhende ameingia kwenye anga za mabeki wageni wanaokipiga ndani ya Simba na Yanga kwa kuwa...
CHEKI NAMNA REKODI ZILIVYOPINDULIWAPINDULIWA NDANI YA LIGI KUU BARA
MZUNGUKO wa sita upo njiani kwa sasa kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara ambapo unatarajiwa kuanza kutimua vumbi Oktoba 14.Rekodi zote ambazo ziliwekwa ndani ya...
NAMUNGO WANAFANYIA KAZI MAKOSA YAO VPL
HITIMANA Thiery, Kocha Mkuu wa timu ya Namungo amesema kuwa kwa sasa anafanyia kazi makosa ambayo wameyafanya kwenye mechi zao zilizopita ndani ya Ligi...
ISHU YA PANGUAPANGUA RATIBA NI PASUA KICHWA LAZIMA ITAFUTIWE DAWA
MZUNGUKO wa sita upo njiani ambapo kuna mchezo uliopaswa kuchezwa Oktoba 18 kati ya Yanga na Simba ulipelekwa mbele na sasa utachezwa Novemba 7.Licha...