TAMBWE AMFUNGUKIA KOCHA MPYA WA YANGA

0
 MSHAMBUALIAJI wa zamani wa Yanga, Mrundi, Amissi Tambwe amefunguka kuwa Yanga imepata bonge la Kocha Cedric Kaze ambaye anapenda soka la pasi za chini...

AZAM FC WAIVUTIA KASI MWADUI FC

0
 AZAM FC ambao ni vinara wa Ligi Kuu Bara wanaendelea kukinoa kikosi kwa ajili ya muendelezo wa kutoa burudani kwa mashabiki wake na jana,...

VITA YA KIATU CHA UFUNGAJI BORA IMEANZA MAPEMA

0
 MEDDIE Kagere mshambuliaji namba moja ndani ya Simba kwa msimu wa 2020/21 ana kazi ya kufanya kutetea kiatu chake cha ufungaji bora kutokana na...

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA JUMAPILI

0
 MUONEKANO wa ukurasa wa mbele Gazeti la Spoti Xtra Jumapili,  lipo mtaani

UJUMBE WA JEMBE KWENDA KWA HAJI MANARA WA SIMBA

0
Anaandika Saleh Jembe kwenda kwa Haji Manara namna hii:-HAJI Manara umekuwa kivutio kwa vijana wengi kutamani kuwa wasemaji wa klabu, kazi ambayo miaka minne tu...

YANGA WATAJA SABABU YA KUCHEZA MECHI ZA KIRAFIKI

0
 ANTONIO Nugaz, Ofisa Uhamasishaji ndani ya Klabu ya Yanga ambaye leo Oktoba 10 ni kumbukizi yake ya kuletwa duniani, amesema kuwa sababu kubwa ya...

KUWAONA VINARA WA LIGI WAKIKIPIGA DHIDI YA MAFUNZO BUKU MBILI

0
VINARA wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Azam FC leo Oktoba 10 wana kibarua cha kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Mafunzo ya Zanzibar.Mchezo huo...

SIMBA KUKIPIGA DHIDI YA NDANDA, AZAM COMPLEX

0
 KIKOSI cha Simba chenye mastaa wenye ushkaji na nyavu ikiwa ni pamoja na Chris Mugalu, Meddie Kagere, Clatous Chama kina kazi ya kuyeyusha dakika...

TAIFA STARS: TUNAWEKA REKODI KESHO KWA MKAPA

0
 SELEMAN Matola, Kocha Msaidizi wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, amesema kuwa wataandika rekodi mpya Uwanja wa Mkapa kwa kupata ushindi ikiwa...

DEMBELE YEYE ANAPIGA MAZOEZI TU

0
NYOTA wa Barcelona, Ousmane Dembele amelazimika kufanya mazoezi peke yake baada ya mapumziko ya muda wa siku nne kwa timu yake ya Barcelona kutokana...