MRITHI WA KOCHA YANGA HUYU HAPA
JANA, Oktoba 3, aliyekuwa Kocha Mkuu wa Yanga, Zlatko Krmpotic alifungashiwa virago vyake ndani ya kikosi cha Yanga baada ya kukiongoza kikosi hicho kwenye...
MTIBWA SUGAR YABANWA MBAVU
MTIBWA Sugar leo imeshindwa kumaliza Biashara mapema Uwanja wa CCM Kirumba baada ya kufungwa bao 1-0 mbele ya Biashara United.
KIKOSI CHA JKT TANZANIA KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA SIMBA
KIKOSI cha JKT Tanzania kitakachoanza leo Oktoba 4 dhidi ya Simba, Uwanja wa Jamhuri, Dodoma
VPL: JKT TANZANIA 0-3 SIMBA
JKT Tanzania 0-3 SimbaUwanja wa Jamhuri, DodomaZinaongezwa 2Dakika ya 45 zimekamilikaKipindi cha Kwanza dakika ya 43 Kagere anapewa huduma ya Kwanza.Kipindi cha Kwanza mchezo...
KIKOSI CHA SIMBA KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA JKT TANZANIA
KIKOSI cha Simba kitakachoanza leo Oktoba 4 dhidi ya JKT Tanzania Uwanja wa Jamhri, Dodoma
CAVAN KUIBUKIA MANCHESTER UNITED
MANCHESTER United imekubali kupata saini ya mshambuliaji wa PSG, Edinson Cavan kwa dili la miaka miwili akiwa ni mchezaji huru.Ripoti zinaeleza kuwa mazungumzo ya...
MTAMBO WA MABAO YA VIWANJA VIGUMU NDANI YA SIMBA KUANZA LEO
KOCHA Mkuu wa Simba,Sven Vandenbroeck raia wa Ubelgiji amesema kuwa anaweza kumtumia nahodha wa kikosi hicho John Bocco kwenye kikosi cha leo kitakachomenyana na...
AZAM FC KAMILI GADO KUIVAA KAGERA SUGAR LEO
ABDULKARIM Amin, Mtendaji Mkuu wa Klabu ya Azam FC amesema kuwa wanahitaji kushinda kwenye mechi zote msimu huu ikiwa ni pamoja na mchezo wao...
MSERBIA WA YANGA ATIMKA BONGO
ALIYEKUWA Kocha Mkuu wa Yanga, Zlatko Krmpotic raia wa Serbia leo ameanza safari ya Kurejea nchini Serbia baada ya mkataba wake kusitisha jana Oktoba...
JKT TANZANIA V SIMBA MATOKEO YAO YA MECHI ZAO HAYA HAPA
LEO Uwanja wa Jamhuri, Dodoma saa 10:00 jioni utachezwa mchezo kati ya JKT Tanzania dhidi ya Simba.Ikiwa ni mzunguko wa tano kwa sasa tayari...