KIPA KMC NA SIMBA KIMEELEWEKA….KOCHA KMC AANIKA KILA KITU
LICHA ya Simba kuwa kimya katika harakati za usajili, tetesi zilipo ni kwamba tayari wamemalizana na kipa wa KMC, Jonathan Nahimana.Nahimana alianza kuhusishwa na...
SIMBA WAICHOKONOA YANGA KIMTINDO HIVI
BAADA ya Uogozi wa Yanga kusema kuwa wachezaji wao watatu wameongezeka uzito, Ofisa Habari wa Simba Haji Manara kama amewajibu kimtindo kwa kuwataja wachezaji...
YANGA WAINYOOSHA MABAO 2-0 DAR CITY
KLABU ya Yanga leo imeshinda mabao 2-0 kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya Dar City uliochezwa Uwanja wa Chuo cha Sheria.Mchezo wa kwanza Yanga...
NDANDA FC INAHITAJI MILIONI 48 IBAKI NDANI YA LIGI
KLABU ya Ndanda FC iliyo chini ya Kocha Mkuu, Meja mstaafu Abdul Mingange inahitaji kiasi cha shilingi milioni 48 kutoka kwa wadau ili kiweze...
SABABU YA AZAM FC KUCHEZA TRANSIT CAMP YAFAFANULIWA KITAALAMU NA CIOABA
ARSTICA Cioaba, Kocha Mkuu wa Azam FC amesema kuwa uongozi ulipendekeza kucheza na timu inayoshiriki Ligi Kuu Bara ila ilishindikana kutokana na kila timu...
KIUNGO WA AZAM FC CABAYE AUAGA UKAPERA
KIUNGO wa timu ya Azam FC, Abdallah Masoud, 'Cabaye' ameuaga ukapela kwa kuvuta jiko lake rasmi jana usiku.Kiungo huyo alifunga ndo na Bi. Fatma...
LIGI KUU YA ZANZIBAR KUPIGWA KWENYE KITUO KIMOJA NA HAKUNA MASHABIKI
KATIBU Mkuu Wizara ya Vijana, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hassan Omar Hassan King, amesema Ligi kuu Zanzibar, itachezwa katika kituo kimoja cha Unguja ili...
HUYU HAPA AMEONGEZEKA KILO 10 YANGA, KAZI ANAYO
INAELEZWA kuwa miongoni mwa wachezaji watatu ambao wameongezeka uzito ndani ya Klabu ya Yanga ni mshambuliaji wao namba moja David Molinga.Habari zinaeleza kuwa baada...