SABABU YA MEDDIE KAGERE KUWEKWA KWENYE RADA ZA TIMU YA HISPANIA HII HAPA
MEDDIE Kagere, mshambuliaji namba moja ndani ya Klabu ya Simba alitajwa kuibukia ndani ya Klabu ya Levante ya Hispania.Inaelezwa kuwa sababu kubwa ya nyota...
SASA LIGI KUU ENGLAND KUMALIZIKA MWEZI AGOSTI
IMEELEZWA kuwa, makocha wote wa timu zinazoshiriki Ligi Kuu England wameambiwa kwamba wanapaswa kumaliza mechi zao zilizobaki ndani ya wiki sita ili kumaliza shughuli...
MASUALA YA MICHEZO YANARUDI NI JAMBO JEMA, TUSISAHAU CORONA BADO IPO
IMESHAKUWA wazi kwamba masuala ya michezo yanarejea Juni Mosi baada ya Serikali kuruhusu burudani kuendelea baada ya kusimama kwa muda mrefu.Machi 17 Serikali ilisimamisha...
SVEN ACHEKELEA KUREJEA KWA SHEVA
SVEN Vandenbroeck, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa ana imani ya kumtumia kiungo wake mshambuliaji Miraj Athuman,'Sheva' kwenye mechi zilizobaki kutokana na kurejea kwenye...
MTIBWA SUGAR: TUPO TAYARI KWA AJILI YA KUENDELEA KUPAMBANA
THOBIAS Kifaru, Ofisa Habari wa Mtibwa Sugar amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya ushindani kutokana na wachezaji wao kuwa na mwendelezo wa mazoezi...
MIKONO YA DHAHABU YA ABAROLA YAPOTEZWA NA MANULA
RAZACK Abarola, mlinda mlango namba moja wa Azam FC mikono yake ya dhahabu imepotezwa na mlinda mlango wa Simba Aishi Manula kwa upande wa...
DAVIES; ALIZALIWA KAMBI YA WAKIMBIZI, SASA SHUJAA NDANI YA BAYERN
Na Saleh AllyBUDUBURAM ni kambi ya wakimbizi iliyo kilomita 44 Kaskazini mwa jiji kubwa zaidi nchini Ghana. Hii ni kambi maalum iliyoanzishwa mwaka 1990...
VILIO INATOSHA, MALIZENI MSIMU MAISHA YAENDELELEE
KILIO cha wengi awali ilikuwa ni kuona kwamba mambo yanatulia na masuala ya michezo yanaendelea ili wanafamilia ya michezo wapate burudani ambayo walikuwa wameikosa.Ilikuwa...
MBARAKA YUSUPH AREJEA MZIGONI
MBARAKA Yusuph, mshambuliaji wa Azam FC amesema kuwa kwa sasa yupo vizuri kuendelea kupambana kwenye mechi za ushindani.Mbaraka alikuwa nje akitibu majeraha yake aliyopata...