SIMBA YATAKA KUBEBA MATAJI MAKUBWA MAWILI

0
MTENDAJI Mkuu wa Simba, Senzo Mbatha amesema kuwa mpango mkubwa uliopo kwa timu hiyo ni kupambana kupata mataji makubwa mawili msimu huu wa 2019/20.Mabingwa...

TARIMO AWASHUKURU WATANZANIA AWAOMBA WAMFUATE INSTAGRAM

0
BRUNO Tarimo maarufu kama Vifuaviwili amesema kuwa anawashukuru watanzania kwa sapot wanayompa jambo linalomfanya apambane kupeperusha bendera ya Taifa.Kwa sasa Vifuaviwili ambaye ni bondia...

BODI YA LIGI KUKAA KIKAO KIZITO LEO

0
MTENDAJI Mkuu wa Bodi ya Ligi Tanzania TPLB, Almas Kasongo amefunguka kuwa leo watakuwa na kikao kizito na viongozi wa Shirikisho la Soka Tanzania...

HIKI NDICHO KILICHOZINDULIWA SAA SABA MCHANA SIMBA

0
UONGOZI wa Klabu ya Simba leo umezindua Website yake rasmi (Tovuti) kwa ajili ya kutanua wigo mpana wa kutoa taarifa kwa mashabiki wake.Tovuti hiyo...

HILI HAPA BOMU LA SIMBA SAA SABA

0
IMEELEZWA kuwa uongozi wa Simba upo kwenye mkakati kabambe wa kuboresha masuala ya utoaji wa taarifa kwa mashabiki wake jambo ambalo wameamua kuwashtua leo...

POCHETTINO ACHEKELEA NAFASI YAKE KUCHUKULIWA NA JOSE

0
MAURICIO Pochettino, aliyekuwa Kocha Mkuu wa Tottenham amesema kuwa Jose Mourinho ni kocha sahihi kubeba mikoba yake ndani ya timu hiyo kwa sasa.Pochettino alisimamishwa...

ISHU YA MWAMNYETO KUMALIZANA NA YANGA IPO HIVI

0
NAHODHA na beki wa kati wa Coastal Union, Bakari Mwamnyeto amekiri kuwepo kwenye mazungumzo mazuri ya kukamilisha dili lake la kusaini mkataba wa miaka...

BOMU LA SAA SABA KUTOKA SIMBA HILI HAPA, NDANI YA CHAMPIONI JUMAMOSI

0
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Jumamosi, lipo mtaani jipatie nakala yako nafasi ya kushinda ndinga mpya ni yako