HAYA HAPA MABAO YA BERNARD MORRISON WA YANGA

0
BERNARD Morrison, kiungo mshambuliaji wa Yanga, alisajiliwa na Yanga kwenye usajili wa dirisha dogo mwezi Desemba mwaka jana, lakini hadi sasa ameshaifungia timu hiyo...

MIRAJI ATHUMANI ATUMA UJUMBE HUU KWA MASHABIKI WAKE

0
MIRAJI Athuman ‘Sheva’ ambaye anashikilia rekodi ya kuwa ‘super sub’ wa Simba msimu huu akiwa ameshikilia mabao ya Meddie Kagere amesema kuwa yupo fiti.Sheva...

ULIMWENGU: NITACHEZA NDANI YA YANGA

0
ULIMWENGU Jules, nyota anayekipiga ndani ya Klabu ya Rayon Sports ya Rwanda anatajwa kuingia kwenye rada za Yanga.Habari zinaeleza kuwa mpango mkubwa wa mabosi...

MALENGO YA OZIL NI KUMALIZANA NA MABOSI WAKE KWANZA NDANI YA ARSENAL

0
ERKUT Sogot, wakala wa staa wa Arsenal Mesut Ozil amesema kuwa lengo la mteja wake ni kuhakikisha anamaliza muda wake ndani ya kikosi hicho.Ozil...

MESSI:CORONA IMETIBUA SHANGWE YA KUTWAA UBINGWA

0
RAMADHAN Singano, 'Messi' nyota anayekipiga ndani ya Klabu ya TP Mazembe amesema  kuwa janga la Corona limetibua shangwe za ubingwa ambao wameutwaa hivi karibuni.Mazembe...

HAYA HAPA MAJINA YALIYOPO MEZANI MWA MABOSI WA SIMBA KWA AJILI YA KUWAPA DILI

0
MABOSI wa Simba wameweka wazi kwamba licha ya kuwa na majina ya wachezaji ambao wanawahitaji katika msimu ujao lakini kwa sasa wameyaweka pembeni na...

BOXER, NYOTA YANGA AFICHUA MAANA YA JINA LAKE

0
PAUL Godfrey maarufu kama Boxer beki wa Yanga amesema kuwa sababu kubwa ya kupewa jina hilo ni spidi yake ya kukimbiza upepo ndani ya...

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTIXTRA ALHAMISI

0
MUONEKANO wa UKURASA wa mbele Gazeti la SPOTIXTRA Alhamisi lipo mtaani nakala yake ni jero tu

ISINGEKUWA CORONA WANGETENGENEZA MKWANJA MREFU KINOMA HAWA JAMAA

0
LABDA kwa sasa wangekuwa wanakenua huku akaunti zao zikiwa zimevimba mkwanja wa kutosha kutokana na kufanya shoo ambazo zingewaingizia mtonyo mrefu nje na ndani...

HATMA YA EYMAEL KOCHA WA YANGA IMESHIKILIWA NA SERIKALI

0
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa unasubiri kupewa ruhusa tu kutoka kwa Serikali ya kuruhusu Ligi Kuu Tanzania Bara ili kumtumia Kocha Mkuu Luc Eymael,...