MABADILIKO MENGINE LIGI KUU BARA YAFANYWA, KUHUSU IDADI YA TIMU, MENGINENO YAKO HAPA
Mabadiliko ya kanuni za Ligi Kuu Bara kuanzia msimu ujao wa Ligi Kuu Tanzania.
YULE MKAZI WA DAR ES SALAAM ALIYELAMBA MKWANJA WA SPORTPESA
Mkazi wa Dar es Salaam, Yusuph Rajabu Changuvu akikabidhiwa mfano wa hundi ya shilingi 6,330,966 baada ya kubashiri kwa usahihi mechi 11 kati ya...
HILI HAPA JESHI ZIMA LA MAUAJI LA LIPULI FC MSIMU MPYA
HILI hapa Jeshi Kamili la mauaji la Lipuli FC kwa msimu mpya wa mwaka 2019/20
ZAHERA AMUACHA KIUNGO YANGA
AKIWA na uhakika wa safari ya Botswana, kiungo mshambuliaji, Jaffer Mohamed ‘rasta’ juzi alikatwa dakika za mwisho na kuwekwa mshambuliaji raia wa Kenya, Maybin...
REKODI YAOBEBA SIMBA CAF
ZIKIWA zimebaki takribani siku nne kabla ya Simba kuivaa UD do Songo kutoka Msumbuji, rekodi zinaonyesha kuwa Simba wana asilimia kubwa ya kuibuka na...
SIMBA KUILIPIA YANGA KIKAO NA WAANDISHI
Na George Mganga,Dar es SalaamUongozi wa Simba kupitia Ofisa Habari wake, Haji Manara, umesema utalipia gharama za kikao na waandishi wa habari ambacho wamedhamiria...
STRAIKA YANGA: YANGA WAMEIFUNIKA SIMBA
WAKATI kikosi cha Yanga kikitarajia kushuka uwanjani Jumamosi ya wiki hii huko nchini Botswana, safu ya ulinzi ya timu hiyo imetajwa kuwa ndiyo itakayokuwa...
KISA BODI YA LIGI, MASAU BWIRE AIGOMEA YANGA ATOA ONYO
Na George Mganga,Dar es SalaamOfisa Habari wa klabu ya Ruvu Shooting, Masau Bwire, ameionya Bodi ya Ligi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TPLB) kutoanza...
LIGI NDIYO INAANZA, KUNA MENGI YA KUJIFUNZA
LIGI Kuu Bara msimu wa 2019/20 inatarajiwa kuanza wikiendi hii kwa baadhi ya timu kupambana kwenye viwanja tofauti baada ya mchezo wa Ngao ya...
ZAHERA AFUNGUKA JUU YA KUONDOKA YANGA
Imeelezwa kuwa Kocha Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera amekanusha taarifa zilizosambaa mitandaoni kuwa anataka kufutwa kibarua cha kuendelea kuinoa timu hiyo.Zahera ambaye hivi sasa...