SERIKALI YAIKUBALI YANGA, YAHOJI NANI ANAYESEMA NI DHAIFU

0
JERRY Muro, Mkuu wa Wilaya ya Arumeru mkoani ambaye aliwahi kuwa Ofisa Habari wa Yanga amewashangaa wanaodai kuwa Yanga ni timu dhaifu.Muro amesema: "Nani...

RATIBA YA MICHUANO YA CECAFA KWA TIMU YA TAIFA CHINI YA MIAKA 15

0
RATIBA ya michuano ya CECAFA kwa timu ya Taifa ya Tanzania ya vijana chini ya miaka 15

KISA ITC FAROUK NA WENZAKE WAWILI KUIKOSA TOWNSHIP ROLLERS WIKI IJAYO, PIGO YANGA

0
Inaelezwa kuwa kipa namba moja wa Yanga aliyesajiliwa hivi karibuni Farouk Shikalo ataukosa mchezo wa marejeano baina ya timu yake na Township Rollers katika...
Habari za Simba

MO AZUIA PRESS YA HAJI MANARA SIMBA

0
Na Haji ManaraBoss wangu (Mo Dewji) amezuia press yangu ya kesho na huyu ni mtu ninayemuheshimu sana ,niwahakikishie nitaendelea kufanya kazi katika Club hii...

HATMA YA SANCHEZ NDANI YA MANCHESTER UNITED HII HAPA

0
OLE Gunnar Solskjaer, Meneja wa Manchester United amesema kuwa anataka mshambuliaji wake machachari, Alexis Sanchez abaki ndani ya kikosi hicho.Solskjaer kesho atakuwa kibaruani kumenyana...

SERIKALI YAZINDUA MASHINDANO YA SPRITE BBALL KINGS VIWANJA VYA MLIMANI CITY, USAJILI KUENDELEA KESHO

0
MALINDE Lutiho Mahona, mwakilishi kutoka Wizara ya Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Jana alizindua rasmi mashindano ya Sprite Bball Kings kwenye viwanja vya Mlimani...

UONGOZI YANGA WASHINDWA KUJIZUIA, WASHUSA RUNGU KWA MASHABIKI WAKE

0
UONGOZI wa klabu ya Yanga, unalaani vikali kitendo cha kuchana jezi ya Simba kilichofanywa na baadhi ya watu wanaodaiwa kuwa mashabiki wa Yanga.Kitendo hicho...

HAWA WATAPIGA PENALTI, FAULO, KONA

0
MSIMU mpya wa Ligi Kuu Bara umezindulies rssmi jana Jumamosi kwa mchezo wa Ngao ya Jamii kati ya Simba na Azam FC, mchezo ambao...

RAGE AZUNGUMZIA USAJILI WA DEO KANDA SIMBA

0
ISMAIL Aden Rage ambaye ni mwenyekiti wa zamani wa Simba, ameweka wazi kuwa timu hiyo imelamba dume kwa kuwasajili mshambuliaji Deo Kanda na kiungo...