UHONDO WA TAMASHA LA FAITH BAPTIST KUNOGESHWA NA YANGA
TIMU ya Yanga inatarajiwa kucheza na klabu ya Mawenzi Market mchezo wa kirafki katika Tamasha Kubwa la Faith Baptist Church linalotarajiwa kufanyika Julai 28...
TANZANIA PRISON YATAJA SABABU YA KUANZA KAMBI MAPEMA
ADOLF Richard Kocha wa Mbeya City amesema kuwa tayari timu imeingia kambini kwa ajili ya kujiandaa na msimu ujao wa mwaka 2019-20 unaotarajiwa kuanza...
AZAM FC: ROBO FAINALI SI MCHEZO, TUTAPAMBANA
MABINGWA watezi wa kombe la Kagame Azam FC baada ya kutinga hatua ya robo fainali wameanza kujiwinda kuelekea kwenye mchezo wa robo fainali utakaochezwa...
ZAHERA AMPA YONDANI KITAMBAA CHA AJIBU
Imeelezwa kuwa Kocha Mkuu wa Yanga yupo mbioni kumrejeshea kitambaa cha unahodha beki Kelvin Yonddani.Hatua hii imekuja mara baada ya aliyekabidhiwa kitambaa hicho, Ibrahim...
UKURASA WA MBELE WA GAZETI LA SPOTI XTRA LEO JUMAPILI, HUKO SIMBA KUMENOGA
Muonekano wa gazeti la Spoti Xtra katika ukurasa wa mbele leo Jumapili.
KAGERE AWAFUNGUKA MABOSI WAKE KWA KITENDO CHA KUMSAJILI KAHATA
MSHAMBULIAJI wa Simba, Mnyarwanda, Meddie Kagere, amesema kitendo cha uongozi wa timu hiyo kumsajili kiungo Francis Kahata, basi mashabiki wa timu hiyo watarajie moto...
TANZANIA PRISONS KUMCHOMOA MSHAMBULIAJI MMOJA WA SIMBA
NYOTA wa Simba, Marcel Kaheza kwa sasa yupo kwenye hatua za mwisho kujiunga kwenye kikosi cha Tanzania Prisons.Kaheza amemalizana na AFC Leopards ya Kenya...
KIPA MPYA YANGA AIPA UBINGWA MAPEMA
MLINDA Mlango mpya wa Yanga, Metacha Mnata amesema kuwa hana hofu na changamoto mpya ambazo atazipata ndani ya kikosi chake hicho.Mnata amejiunga na Yanga...
AZAM FC YACHEKELEA KUTINGA ROBO FAINALI
UONGOZI wa Azam FC umechekelelea kutinga hatua ya robo fainali baada ya timu ya KCCA kushinda kwa mabao 2-1 dhidi ya Mukura FC.Akizungumza na...
MANCHESTER UNITED YAFUTA KABISA MPANGO WA KUMUWINDA LEMINA
MANCHESTER United imefutilia mbali nia yao ya kutaka kumsajili kiungo wa Southampton, Mario Lemina mwenye umri wa miaka 25.Kiungo huyo amekuwa akihusishwa kutua ndani...