BEKI MWENYE MIAKA 32 TOKA IVORY COAST AHUSHISHWA KUMALIZANA NA SIMBA, WAKALA WAKE AFUNGUKA
Imeelezwa kuwa beki wa kati anayekipiga katika klabu ya Es Metlaoui ya Tunisia, Ange Bares ameingia katika rada za kusajiliwa na Simba.Beki huyo mwenye...
TIMU SAMATTA, KIBA HAPATOSHI LEO TAIFA
LEO Jumapili hutakiwi kukosa pale Uwanja wa Taifa kwani mastaa Mbwana Samatta na Ally Saleh Kiba na timu zao watakuwa wakionyesha umwamba katika mchezo...
NIYONZIMA AVUNJA UKIMYA SIMBA
Kiungo machachari wa Simba, Mnyarwanda Haruna Niyonzima, amevunja ukimya kuwa mpaka sasa uongozi wa timu hiyo haujazungumza naye ishu yoyote ya kuongeza mkataba na...
KKUNGO HATARI MPYA YANGA AAHIDI KUMALIZA KAZI NA TSHISHIMBI
BAADA ya juzi kusaini mkataba wa miaka miwili ya kuichezea Yanga, kiungo mshambuliaji mpya Mnyarwanda, Issa Bigirimana ‘Walcott’ amemuulizia Ibrahim Ajibu akitaka kujua anabaki...
MUONEKANO WA GAZETI LA SPOTI XTRA KATIKA UKURASA WA MBELE LEO JUMAPILI
MUONEKANO WA GAZETI LA SPOTI XTRA KATIKA UKURASA WA MBELE LEO JUMAPILI
ALIKIBA AUNGANA NA CHUMA ‘ MEDDIE KAGERE’ KUMMALIZA SAMATTA LEO, TAZAMA TIZI LAO –...
Msimu mpya wa 'Nifuate' ya msanii, Alikiba na mwanasoka, Mbwana Samatta imekuja kivingine huku wakitambiana kuelekea mchezo wao wa hisani, Juni 2 utakaochezwa Uwanja...
HII SASA NI BALAA, YANGA YASAINI TISA WAPYA, SIMBA MNATOKAJE- VIDEO
Yanga imepania acheni utani jamani, hii ni kutokana na usajili wanaoendelea kuufanya na tayari wamekamilisha saini za wachezaji tisa kati hao sita kutoka nje...