VIFAA VIWILI VYASAINI YANGA

0
YANGA bado wako bize kwelikweli na mambo ya usajili ambapo juzi usiku walikamilisha usajili wa mastaa wawili ambao wanaaminika watabadili mambo na kuirejesha ile...

AZAM YABEBA UBINGWA WA FA, YAICHAPA LIPULI 1-0 KWA MBINDE

0
Azam FC imeandika rekodi ya kutwaa taji la Kombe la Shirikisho 'Azam Sports Federation CUP' kwa mara ya kwanza kufuatia ushindi wa bao 1-0...

KIKOSI CHA AZAM DHIDI YA LIPULI

0
Kikosi rasmi cha Azam FC kitakachokipiga dhidi ya Lipuli kwenye mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho (Azam Sports Federation Cup)16 Razak Abalora14 Nickolas...

SAMATTA: KESHO TAIFA NI MWENDO WA BURUDANI, MASHABIKI JITOKEZINI KWA WINGI

0
NAHODHA wa timu ya Taifa, Mbwana Samatta amesema kuwa mashabiki kesho wajitokeze kwa wingi uwanja wa Taifa kutoa sapoti kwenye mchezo wa hisani dhidi...

KIKOSI CHA LIPULI DHIDI YA AZAM FC LEO, ALIYESAJILIWA YANGA AANZIA BENCHI

0
Kikosi cha Lipuli dhidi ya Azam FC hiki hapa1. Mohammed Yusuph2. William Lucian3. Paul Ngalema4. Haruna Shamte5. Novarty Lufunga6. Fred Tangalu7. Miraji Athuman8. Jimmy...

BEKI MWINGINE MPYA NA YANGA KIMEELEWEKA

0
INADAIWA kuwa beki wa Lipuli FC, Ally Mtoni ‘Sonso’ tayari amemalizana na uongozi wa Yanga kwa ajili ya msimu ujao wa Ligi Kuu Bara...

MAPILATO WA AZAM FC NA LIPULI LEO HAWA HAPA

0
Hance Mabena leo atakuwa mwamuzi wa kati kwenye mchezo wa fainali ya kombe la Shirikisho FA utakaochezwa uwanja wa Ilulu, Lindi majira ya saa...

LIPULI: TUNAIPIGA AZAM FC NA PIPA TUNAKWEA

0
KOCHA wa Lipuli, Seleman Matola amesema kuwa wana shauku kubwa ya kukwea pipa ili kuiwakilisha nchi kimataifa hivyo kazi yao leo ni kuwakalisha wapinzani...