KOTEI MWENYEWE AFUNGUKA JUU YA KWENDA YANGA
Kiungo mkabaji ambaye mkataba wake umemalizika na klabu ya Simba, Mgahana, James Kotei amesema haelewi juu ya hatma yake ndani ya kikosi hicho kutokana...
MANARA AIBUKA NA KALI NYINGINE JUU YA TAIFA STARS – VIDEO
Ofisa Habari wa klabu ya Simba, Haji Manara, amefunguka machache kuelekea mechi ya Taifa Stars dhidi ya Kenya Juni 27, 2019.
JUUKO AVURUGA HALI YA HEWA KWA VIONGOZI SIMBA
Jumamosi iliyopita inadaiwa kuwa viongozi wa Simba hawakuamini kile walichokiona kutoka kwa beki wao wa kati Mganda, Juuko Murshid alipokuwa akiitumikia timu yake ya...
HII KALI!! KINDOKI ATAKA MILIONI 45 YANGA, SABABU ATAJA
Kumekuwa na taarifa ambazo zinaeleza kuwa klabu ya Yanga huenda ikaachana na kipa wako Mkongomani Klaus Kindoki.Taarifa hizi zimesababisha mwenyewe kuibuka na kudai kiasi...
AZAM YAITANGAZIA VITA SIMBA, WACHEZAJI WATAJWA
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Azam FC, Abdulkarim Amin ‘Popat’, amesema kuwa msimu ujao wa Ligi Kuu Bara wataivua ubingwa Simba.Azam FC ambayo msimu uliopita...
MABOSI YANGA WATOA TAMKO LINGINE ZITO KWA AJIBU, SIMBA YATAJWA
Licha ya Yanga kukata tamaa juu ya kumbakiza kiungo mshambuliaji Ibrahim Ajibu, mabosi wa timu hiyo wamempa siku saba kwa ajili ya kuamua hatma...
Alichokisema Amunike leo.
Tumekutafsria hapa kwa mujibu wa video hiyo hapo juu.Tunacheza dhidi ya Kenya, ni nafasi yetu nzuri. Timu zote mbili zinatokea Afrika Mashariki,...