IMEELEZWA kuwa kwa sasa kuna majina matatu ambayo yanatajwa kuingia kwenye orodha ya wale ambao wanatafutwa kurithi mikoba ya Sven Vandenbroeck, raia wa Ubelgiji.Kocha wa zamani wa Al Ahly, Rene Weiler aliyepata mafanikio ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu...
TIMU zote 20 zinazoshiriki Ligi Kuu England kwa sasa wachezaji pamoja na viongozi watalazimika kupima Virusi ya Corona mara mbili ndani ya wiki moja ili kuendelea kukabiliana na maambukizi mapya ya Corona.Hali hii imekuja kutokana na maambukizi ya Corona...
BAADA ya Uongozi wa Gwambina FC kuachana na benchi la ufundi la timu hiyo lililokuwa linaongozwa na Kocha Mkuu, Fulgence Novatus na msaidizi wake Athuman Bilal inaelezwa kuwa aliyekuwa kocha msaidizi ndani ya Klabu ya Simba, Masoud Djuma ametuma...
MTAMBO wa mabao ndani ya kikosi cha Yanga kwenye Kombe la Mapinduzi kwa msimu wa 2020 ni Haruna Niyonzima ambaye ni kiungo mshambuliaji.Mechi tatu ambazo Yanga imecheza kwenye Kombe la Mapinduzi imetupia jumla ya mabao mawili kambani na imefungwa...
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele Gazeti la SPOTI XTRA Jumanne
MABINGWA mara tatu wa Kombe la Mapinduzi Simba wanatinga hatua ya fainali baada ya kushinda mbele ya Namungo FC kwenye nusu fainali ya pili kwa ushindi wa mabao 2-1.Mchezo wa leo uliochezwa Uwanja wa Amaan, Simba ilianza kushinda mapema...
Dakika ya 58 Nurdin Barola a aokoa hatari langoni mwakeDakika ya 56 Kakolanya anapewa huduma ya kwanzaDakika ya 54 Blaise anaingia kuchukua nafasi ya KipagwileDakika ya 48 Kwizera anapeleka mashambulizi SimbaKipindi cha pili kimeanza HATUA ya nusu fainali ya piliUwanja...
KIKOSI cha Simba kitakachoanza leo Januari 11 dhidi ya Namungo FC hatua ya nusu fainali.Mshindi wa leo anakutana na Yanga kwenye hatua ya fainali la Kombe la Mapinduzi, kikosi hiki hapa:-
MABINGWA wa kihistoria wa Kombe la Mapinudzi, Azam FC wameondolewa kwenye hatua ya nusu fainali na Yanga kwa kufungwa penalti 5-4 kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa Amaan, visiwan Zanzibar.Azam ikiwa imetwaa mataji hayo mara tano iliweka mzani sawa dakika...
NUSU Fainali ya kwanza Kombe la Mapinduzi Yanga 0-0 Azam FC Uwanja wa AmaanDakika ya 22 Yanga wanapata kona ya kwanzaDakika ya 21 Tigere anapiga kona ya pili kwa Azam FC Dakika ya 19 Sebo anapeleka mashambulizi YangaDakika ya 17 Niyonzima anapeleka...