YANGA YAIVUTIA KASI NAMUNGO

0
 CEDRIC Kaze, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo wa kesho wa Kombe la Mapinduzi dhidi ya Namungo FC. Yanga ilifungua pazia Januari 6 kwa kucheza na Klabu ya Jamhuri ambapo dakika 90 zilikamilika kwa...
UONGOZI wa Klabu ya Azam FC umeweka wazi kuwa, Prince Dube atarejea rasmi uwanjani kuanzia Januari 17, mwaka huu. Dube aliyesajiliwa na Azam kutokea kikosi cha Highlanders ya nchini Zimbabwe tayari ametimiza majuma sita akiwa nje ya uwanja baada ya kuvunjika...
 KAZI kubwa kwa sasa ndani ya uwanja kwa timu ambazo zimepata nafasi ya kushiriki kwenye mashindano ya Kombe la Mapinduzi ni kusaka ushindi katika kila mechi ambazo wataingia ndani ya uwanja.Mabigwa watetezi nao wana kazi kubwa ya kufanya ili...
 ADAM Adam, nyota wa Klabu ya JKT Tanzania ambaye jina lake lipo kwenye orodha ya nyota wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars kinachojiandaa na michuano ya CHAN amesema kuwa atasaini Simba ikiwa watampa dili lenye maslahi mazuri.Adam...
 INGIZO jipya ndani ya kikosi Cha Azam FC Mpiana Monzinzi anayefundishwa na Kocha Mkuu, George Lwandamina anatarajiwa kuanza leo kutumika ndani ya timu yake mpya.Leo Januari 7, Azam FC inakazi ya kusaka ushindi mbele ya Mlandege utakaochezwa Uwanja wa...
 LICHA ya kupata ushindi wa mabao 5-1 kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Hollywood FC uliochezwa jana, Januari 6, Uwanja wa Jamhuri Dodoma, uongozi wa timu hiyo umeomba radhi kwa ushindi walioupata.Ushindi huo unaifanya Dodoma Jiji yenye...
HONGERA kwa wawakilishi wetu kimataifa ambao wameanza vizuri ndani ya mwaka 202i kwa kupata matokeo chanya kwenye mechi zao ambazo wamecheza.Kwa familia ya michezo kila mmoja anatambua namna timu yake ilivyofungwa mwaka 2020 ndani ya uwanja kwa namna ya...
UONGOZI wa Klabu ya KMC FC umemsimamisha mshambuliaji wa kikosi hicho Relliants Lusajo aliyeibuka ndani ya kikosi hicho akitokea Klabu ya Namungo. Taarifa iliyotolewa na Ofisa Habari wa KMC,Christian Mwagala imeeleza namna hii:"Tunapenda kuwajulisha mashabiki na wapenzi wa Klabu ya KMC...
 MSIMAMO wa Ligi Kuu Tanzania Bara kwa sasa upo namna hii:-
 Hii hapa miamba iliyotinga hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Barani Afrika 20/211.Zamalek (Misri) 2.Mamelodi Sundowns (Afrika Kusini)3.Kaizer Chiefs (Afrika Kusini)4.Al Ahly (Misri) 5.Teungueth FC (Senegal)6.CR Belouizdad (Algeria) 7.TP Mazembe (DR Congo)8.MC Alger (Algeria)9.EspĂ©rance Tunis (Tunisia) 10.Simba SC (Tanzania )11.Al Merrikh SC (Sudani)12.As...