KOCHA Mkuu wa Yanga, Cedric Kaze, amefunguka kuwa anahitaji kuona kikosi chake kinafunga mabao mengi kwenye michezo yao ya mzunguko wa pili, ili kuwe na uwiano mzuri wa mabao, ndiyo maana wameazimia kuongeza nguvu katika eneo la ushambuliaji kwa...
NORMAN Mapeza, Kocha Mkuu wa FC Platinum ya Zimbabwe, amesema kuwa anatambua uimara wa Simba upo kwenye safu ya kiungo na ushambuliaji, jambo ambalo atalifanya ni kuongeza nguvu kwenye ulinzi na safu yake ya ushambuliaji.Safu ya ushambuliaji ya Simba...
BAADA ya kuipandisha timu ndani ya Ligi Kuu Bara na kuiongoza Gwambina kwenye jumla ya mechi 17 ikiwa nafasi ya 14 na pointi zao 19 benchi la ufundi limefutwa kazi mazima.Kwa sasa mabosi wa Gwambina wameingia sokoni kusaka mbadala...
IMEELEZWA kuwa Klabu ya Namungo FC inayonolewa na Kocha Mkuu, Hemed Morroco imekamilisha dili la kupata saini ya kiungo mshambuliaji Kwizera Eric.Nyota huyo alikuwa anakipiga ndani ya Klabu ya Olympic Star ya Burundi ni raia wa Burundi na ana...
JURGEN Klopp, Kocha Mkuu wa Liverpool amesema kuwa hakuna wa kumlaumu kwa kupoteza mchezo wao wa Ligi Kuu England mbele ya Southampton kwa kufungwa bao 1-0.Wakiwa Uwanja wa St Mary's walikubali kuyeyusha pointi tatu baada ya kufungwa bao mapema...
NYOTA watatu wa kikosi cha Azam FC watabaki Bongo kuendelea na majukumu yao katika kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars hivyo watakosekana kwenye mashindano ya Mapinduzi Cup. Wachezaji hao ni Ayoub Lyanga, Khleffin Hamdoun na beki wa...
KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Bernard Morrison, amewakimbiza vibaya mastaa wa Yanga kwa kumiliki ndinga yenye thamani kubwa akiwemo Carlos Carlinhos. Morrison raia wa Ghana, anamiliki gari aina ya Nissan Fuga 50GT ya mwaka 2013 yenye thamani ya Sh milioni 63,...
NYOTA wote wa Yanga akiwemo staa mpya wa kikosi hicho, Said Ntibazonkiza ‘Saido’, wamepewa masharti magumu katika mzunguko huu wa pili wa Ligi Kuu Bara. Masharti hayo ni kuhakikisha wanaendeleza rekodi yao ya kutopoteza mechi katika ligi, huku wakiambiwa wasahau...
MSHAMBULIAJI wa Simba, raia wa Rwanda, Meddie Kagere, ameibuka na kusema kuwa, yeye si Mtanzania na hamtambui mzee anayesema ni baba yake. Hivi karibuni, mzee Vedasto Katologi, aliweka wazi kuwa yeye ni baba wa nyota huyo kwa kusema ikiwa Kagere...
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la SPOTI XTRA Jumanne