CHARLES Ilanfya, mshambuliaji wa KMC leo ameifungia timu yake mabao mawili na kuipa pointi tatu timu yake wakati ikishinda kwa mabao 2-1 dhidi ya Alliance FC,Mchezo huo wa Ligi Kuu Bara umechezwa leo, Machi 15 Uwanja wa Uhuru.Kipindi cha...
ARSTICA Cioaba, Kocha Mkuu wa Azam FC amekasirishwa na mabao 37 yaliyofungwa na wachezaji wake ndani ya Ligi Kuu Bara na kuwataka washambuliaji wake wongeze umakini wakiwa ndani ya 18.Safu ya ushambuliaji ya Azam, FC inaongozwa na Obrey Chirwa...
LEO Uwanja wa Majaliwa, Namungo FC itaikaribisha Yanga kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara ambao utaikutanisha miamba hii inayotesa ndani ya tano bora na shughuli itakuwa pevu kutokana na ubora wa timu zote mbili.Huu unakuwa mchezo wa kwanza kwa...
NYOTA wa timu ya Yanga, Haruna Niyonzima amesema kuwa sababu kubwa iliyomfanya asijiunge na kikosi cha Yanga ambacho leo kitacheza mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Namungo FC ni kadi zake tatu za njano alizopewa kwenye mechi alizocheza.Niyonzima...
SVEN Vandenbroeck, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa kuna shindani mkubwa wa namba ndani ya kikosi chake jambo linalompasua kichwa kuwapa nafasi wachezaji wake.Raia huyo wa Ubelgiji amesema kuna wachezaji ambao wamekuwa wakikosekana uwanjani licha ya kuwa na uwezo...
LEO Uwanja wa Majaliwa, Namungo FC itaikaribisha Yanga kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara ambao utaikutanisha miamba hii inayotesa ndani ya tano bora na shughuli itakuwa pevu kutokana na ubora wa timu zote mbili.Huu unakuwa mchezo wa kwanza kwa...
ZUBER Katwila, Kocha Mkuu wa Mtibwa Sugar amesema kuwa vijana wake wanakosa utulivu wanapoingia kwenye 18 jambo linalowapa wakati mgumu wa kupata matokeo.Mtibwa Sugar, jana Machi 14 ililazimisha sare ya kufungana bao 1-1 na Biashara United kwenye mchezo uliochezwa...
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa mashabiki wajitokeze kwa wingi kuwapa sapoti watakaposhuka Uwanja wa Majaliwa kusaka pointi tatu mbele ya Namungo FC.Yanga iliyo chini ya Kocha Mkuu, Luc Eymael itamenyana na Namungo leo Uwanja wa Majaliwa ikiwa na kumbukumbu...
MALALE Hamsini, Kocha Mkuu wa Polisi Tanzania amesema kuwa ushindi walioupata mbele ya Ndanda FC haujamfurahisha kutokana na kuzidiwa mbinu na wapinzani wake.Polisi Tanzania ilisepa na pointi tatu mazima mbele ya Ndanda kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa...
HITIMANA Thiery, Kocha Mkuu wa Namungo ambaye atakuwa mwenyeji leo Uwanja wa Majaliwa mbele ya Yanga amesema anawatambua vema wapinzani wake jambo ambalo halimpi tabu.Yanga itamenyana na Namungo kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara majira ya saa 10:00 jioni...