Uwanja wa Taifa: Yanga 0-0 SimbaKipindi cha kwanzaDakika ya 26 Jonas Mkude anaonyeshwa kadi ya njano Dakika ya 22 Erasto Nyoni anakwenda nje anaingia Kened Juma Dakika ya 11 Nchimbi anafanya jaribio la pili linatoka nje ya langoMnata anafanya save moja...
HIKI hapa kikosi cha Simba kitakachoanza leo Machi 8, dhidi ya Yanga Uwanja wa Taifa
KIKOSI cha Yanga kitakachoanza leo dhidi ya Simba, Machi 8, Uwanja wa Taifa
KIKOSI cha Simba kimetia timu Uwanja wa Taifa kwa ajili ya mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Yanga utakaochezwa leo, Machi 8 majira ya saa 11:00 jioni.Beki wa Simba, Erasto Nyoni amesema kuwa anakumbuka kuwa mchezo wao...
JOSE Mourinho, Kocha Mkuu wa Tottenham amesema kuwa tatizo kubwa kwenye timu yake kwa sasa ni kukosa viungo sahihi wa kuichezesha timu yake ndani ya Uwanja.Kwenye mchezo wa Ligi Kuu England aliocheza Machi 7 dhidi ya Burnley alilazimisha sare...
Simba ikiwa imecheza mechi 26, Manula amekaa langoni kwenye mechi 19 huku mechi saba akikaa mlinda mlango namba mbili Beno Kakolanya. Simba ikiwa imefungwa mabao 14 kati ya hayo tisa Manula ndiyo karuhusu.Ametoka na clean sheet 12 ambapo ilikuwa...
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa leo unaichapa Simba mapema ili kulinda heshima hauna hesabu na kutwaa Kombe la Ligi Kuu Bara ambalo lipo mkononi mwa Simba.Leo Uwanja wa Taifa majira ya saa 11:00 jioni, Yanga itakuwa mwenyeji wa Simba...
LEO Uwanja wa Taifa, majira ya saa 11:00 jioni kutakuwa na mchezo unaosubiriwa kwa hamu kati ya Yanga na Simba ambao ni wa mzunguko wa pili ndani ya Ligi Kuu Bara.Kila timu inaamini wachezaji wake kutokana na uwezo wao...
LUC Eymael, Kocha Mkuu wa Yanga amewacharukia wachezaji wake wote wa Yanga na kuwataka wacheze kwa nidhamu mbele ya Simba leo kutokana na uimara wa wapinzani wake.Yanga itaikaribisha Simba leo kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaochezwa Uwanja wa...
MLINDA mlango namba moja wa Simba, Aishi Manula amesema kuwa wapinzani wao Yanga walifurahia sare waliyopata kwenye mchezo wa kwanza uliochezwa Januari 4, 2020 kutokana na kupindua meza kibabe.Mchezo huo Yanga walikwenda mapumziko wakiwa nyuma kwa bao 1-0 lililofungwa...