OFISA MTENDAJI MKUU WA BODI YA LIGI, BONIFACE WAMBURANA SALEH ALLYWIKI hii imeisha, gumzo badala ya kuwa ubingwa wa Simba, mambo yaligeuka na kuwa nani aliyeteremka.Suala la timu iliyoteremka daraja kutoka Ligi Kuu Bara hadi Ligi Daraja la Kwanza,...
*Twendeni Taifa Juni 2 tukawaunge mkonoNa Saleh AllyVIJANA wawili wa Kitanzania, wameamua kukutana pamoja na kufanya kitu kwa ajili ya kurejesha katika jamii.Mbwana Samatta anayekipiga katika kikosi cha mabingwa wa Ubelgiji, KRC Genk na Ally Saleh Kiba, maarufu kama...
Kocha Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera, ametamka kuwa hana mpango na viungo wa Simba, Jonas mkude na Said Ndemla ingawa baadhi ya viongozi wanawatamani.Kauli hiyo ameitoa juzi kwenye mahojiano maalum yaliyofanyika kwenye hoteli ya kisasa ya The Atriums Hotel...
YANGA wamejiwekea msimamo kwamba wachezaji wote wazawa kila mmoja mkwanja wake wa usajili usizidi Sh.Mil 30 lakini kuna baadhi wanaweza kuwafi kiria kidoogo.Gadiel Michael ni mmoja wao. Sasa wakubwa wakamuendea hewani wakamwambia ; “njoo umwage wino kuna mil 40...
Kocha Mkuu wa Yanga Mkongomani, Mwinyi Zahera amesema kuwa kiungo wake mshambuliaji, Ibrahim Ajibu atafute sababu nyingine iliyomzuia kujiunga TP Mazembe ya DR Congo na siyo dau la usajili.Kauli hiyo aliitoa ikiwa ni siku chache ziibuke taarifa za dili...
Straika tegemo katika timu ya KRC Genk inayoshiriki Ligi Kuu Ubelgiji, Mbwana Samatta, amesema kuwa endapo atamaliza harakati za maisha yake ya soka atarejea Tanzania kuungana na Simba."Wachezaji wengi wakubwa wanapokaribia kustaafu soka hurudi kwenye vilabu vyao vya zamani...
Katibu Mkuu wa APR ya Rwanda Adolphe Kalisa, amefunguka kwa kusema kuwa ameshangazwa na Yanga kwa kumsajili mchezaji wake Issa Birigimana bila kufuata taratibu.Kalisa ameeleza kuwa ameshangazwa na klabu kubwa kama Yanga kufanya maamuzi hayo ili hali mchezaji huyo...
Kagera Sugar na Mwadui Fc zimeingia katika hatua ya mtoano dhidi ya timu za ligi daraja la kwanza ili kuamua nani atabaki au atapanda Ligi Kuu. Salimu Aiyee ni mfungaji bora kwa wazawa, lakini timu yake ipo...
BINGWA ndo kama alivyoshinda na Ligi Kuu Bara imemalizika huku timu nyingi zikiwa zimeambulia maumivu makubwa msimu huu.Ilikuwa ni aina moja ya ligi iliyokuwa na ushindani kwa timu chache ambazo zilikuwa zinashiriki ligi hali iliyopoteza ule mvuto na msisimko...