Kiungo machachari wa Simba, Mnyarwanda Haruna Niyonzima, amevunja ukimya kuwa mpaka sasa uongozi wa timu hiyo haujazungumza naye ishu yoyote ya kuongeza mkataba na kwamba hilo halimtishi kwani ana ofa kibao.Niyonzima alijiunga na Simba misimu miwili iliyopita akitokea Yanga,...
BAADA ya juzi kusaini mkataba wa miaka miwili ya kuichezea Yanga, kiungo mshambuliaji mpya Mnyarwanda, Issa Bigirimana ‘Walcott’ amemuulizia Ibrahim Ajibu akitaka kujua anabaki au anaondoka Jangwani.Bigirimana alisaini mkataba huo juzi baada ya kufi kia makubaliano mazuri na viongozi...
MUONEKANO WA GAZETI LA SPOTI XTRA KATIKA UKURASA WA MBELE LEO JUMAPILI
Msimu mpya wa 'Nifuate' ya msanii, Alikiba na mwanasoka, Mbwana Samatta imekuja kivingine huku wakitambiana kuelekea mchezo wao wa hisani, Juni 2 utakaochezwa Uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam.Viingilio katika mchezo huo ni Sh.2000 kwa viti vya mzunguko,...
Yanga imepania acheni utani jamani, hii ni kutokana na usajili wanaoendelea kuufanya na tayari wamekamilisha saini za wachezaji tisa kati hao sita kutoka nje ya nchi na wawili wazawa.Timu hiyo imemalizana na mastaa tisa ambao tayari wamesaini mikataba ya...
Mshambuliaji na Kiungo wa Team Kiba Shiza Kichuya na Feisal Salum wamefunguka kuwa kwa kikosi chao kilivyo lazima wawafunge timu Samatta kutokana na ni timu nzuri na ina wachezaji wazuri na vijana.Kampeni ya Nifuate ni msimu wake wa pili...
Utatu hatari Simba, kipa Aishi Manula, Erasto Nyoni na Shomari Kapombe wametikisa kiberiti kwa kugoma kusaini mikataba mipya wakitaka wapewe mkwanja mrefu zaidi.Wachezaji hao walijiunga na Simba misimu miwili iliyopita wakitokea Azam FC na sasa mikataba yao imemalizika hivyo...