Ipo kauli moja inayosema ‘Muomba Mungu hachoki’ na ile inayosema mafanikio ya mtu yapo tu ila kuna siri kubwa mpaka mtu kufikia ndoto zako. Kwa kila kijana hususan wachezaji wanakuwa na stori zenye kusisimua mpaka kufikia malengo yao. Kiungo huyo wa...
NI kama ameanza tambo Kocha Mkuu wa Simba, Mbrazili, Roberto Oliveira ‘Robertinho’, baada ya kusema kwa sasa anataka kuona wachezaji wake wakicheza soka zuri, huku akibainisha kwamba tayari ameanza kuona muelekeo wa kikosi chake kufanya kile anachokihitaji. Robertinho ametoa kauli...
Beki wa kati mpya wa Young Africans, Gift Fred amesema kuwa licha ya kusugua Benchi bado anaamini akipata nafasi ya kucheza atajituma na kuisaidia timu hiyo kufanya vyema katika michuano mbalimbali msimu huu 2023/24. Gift Fred ni ingizo jipya kwa...
Msimu mpya Mzigo wa Kutosha Meridianbet ni slogan mpya ikiwa na lengo la kuwapatia wateja wake maokoto ya kutosha kila wakati, kupitia kasino ya mtandaoni, michezo ya sloti, kubashiri soka na promosheni kibao ni sehemu inayokupa hela za kutosha. Kupitia...
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu ya soka Tanzania Bara, Yanga leo inaanza kampeni ya kutetea taji hilo dhidi KMC. Mchezo huo pekee wa ligi hiyo leo utafanyika uwanja wa Azam Complex, Chamazi Dar es Salaam. Takwimu zinaonesha Yanga na KMC zimekutana...
KOCHA Mkuu wa Yanga, Muargentina, Miguel Gamondi, amesema anafurahia aina ya uchezaji wa beki wa kati wa timu hiyo, Dickson Job, huku akimuhakikishia nafasi kubwa ya kucheza kikosi cha kwanza. Beki huyo hakuchezeshwa katika michezo miwili ya Ngao ya Jamii...
MSHAMBULIAJI wa Simba, Mzambia, Mosses Phiri, ametangaza hali ya hatari kwa mabeki wa timu za Ligi Kuu Bara zikiwemo Yanga na Azam kwa kuwaambia amejipanga kufunga mabao katika kila mchezo atakaopewa nafasi ya kucheza msimu huu ili kurudisha ubora...
LEO Jumatano Agosti 23, 2023 Yanga ikitarajiwa kuvaana na KMC kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara, Kocha Mkuu wa timu hiyo, Miguel Gamondi ameweka wazi kuwa, atahakikisha anapanga kikosi cha maangamizi. Yanga itapambana na KMC ukiwa ni mchezo wa Ligi...
NI kama ameanza tambo Kocha Mkuu wa Simba, Mbrazili, Roberto Oliveira ‘Robertinho’, baada ya kusema kwa sasa anataka kuona wachezaji wake wakicheza soka zuri, huku akibainisha kwamba tayari ameanza kuona muelekeo wa kikosi chake kufanya kile anachokihitaji. Robertinho ametoa kauli...
Nilikuwa nasoma mahala Himid Mao akimzungumzia mchezaji wa Simba, Kibu Denis. Kwamba walinzi wengi watachukia kumkaba mchezaji wa aina yake. Ni msumbufu. Ni kweli ana matumizi mengi ya nguvu uwanjani. Wakati mwingine akili yake inakwama uwanjani lakini ukweli ni kwamba...