Ofisa Habari wa Klabu ya Yanga, Ally Kamwe amesema kuwa sasa ameelewa kwa nini beki wa kulia na kushoto wa Yanga SC, Kibwana Shomari amesema kwenye nafasi yake kuna kazi kubwa ya kujihakikishia namba.
Kamwe amesema hayo jana Jumapili, Agosti...
Mchambuzi wa masuala ya soka nchini, Edo Kumwembe amemsifia beki mpya wa kulia wa Yanga, Kouassi Attoula Yao kutokana na kiwango chake kuwa bora na kuwavutia mashabiki na wapenda soka nchini.
Edo amesema hayo jana Jumapili, Agosti 20, 2023 kupitia...
Baada ya kumalizika mchezo wa hatua ya awali ya Ligi ya Mabingwa barani Afrika kati ya Yanga SC dhidi ya Asas kutoka Djibouti na Yanga kushinda kwa mabao 2-0 mchezo uliopigwa katika uwanja wa Chamazi Complex.
Kwenye mkutano na Waandishi...
Ofisa Habari wa Klabu ya Yanga, Ally Kamwe amesema kuwa nafasi yao ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu uko palepale licha ya wapinzani wao Simba Sc kuanza vizuri kwa kushinda katika michezo yao miwili ya...
Mchambuzi wa soka, Haatim Abdul amesema Yanga SC wanahitaji mwalimu wa wafungaji kwani wanapata nafasi nyingi lakini wanashindwa kuzitumia.
Amesema, Yanga wanatakiwa kumtafuta mwalimu anayeweza kuwaelekeza mbinu za kufunga kwani kwa kiasi kikubwa wanafanya kila kitu kwenye mchezo lakini unakosekana...
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
Chaguo ni lako kukamilisha ndoto zako kwa njia ya rahisi, kazi ya Meridianbet kasino ya mtandaoni ni kukuletea michezo mingi na sloti za kijanja ambazo zinakupa urahisi wa wewe kucheza na kushinda.
Ukiachilia mbali bonasi, ofa, odds kubwa na promosheni...
Mabosi wa Simba wamekiangalia kikosi cha timu hiyo na kusema kikipata muunganiko na kurejesha soka lake, basi wapinzani watapata tabu sana kwani hawataacha kitu kutokana na malengo waliyojiwekea ya kurejesha kila taji walilopoteza misimu miwili iliyopita.
Simba ilipoteza mataji iliyokuwa...
Simba imeanza kusaka taji la Ligi Kuu Tanzania Bara kwa ushindi wa mabao 4-2 dhidi ya Mtibwa Sugar. Lakini kwa tathmini ya haraka shida ni pale kati kwa Mzamiru Yassin. Kwa namna yoyoye ile staa huyo mzawa ndiyo suluhisho...