Baada ya kushuhudia Ligi mbalimbali zikirejea wiki iliyopita, kesho zile ligi zingine ambazo zilikuwa hazijarejea sasa nazo kuanza kesho kama vile Bundesliga, na Serie A huku zile zilizokuwa zimeanza zitaendelea pia, na ukiwa na Meridianbet maokoto ni nje nje.
Ligi...
Mshambuliaji wa zamani wa Yanga, Fiston Kalala Mayele amesema kuwa licha ya Yanga kupoteza kwa kushindwa kubeba Ngao ya Jamii mbele ya Simba anaamini bado timu hiyo ina uwezo mkubwa wa kutwaa ubingwa wa ligi kuu kutokana na ubora...
Wachezaji wa Young Africans wamesema kwa sasa nguvu na akili zao wamezielekeza katika mchezo wa hatua wa awali wa Ligi ya Mabingwa Afrika, huku kikubwa wanataka kuona wanaandika rekodi ya kuifikisha timu hiyo hatua ya makundi.
Hiyo ikiwa ni siku...
Baada ya kukosa ubingwa wa Ngao ya Hisani timu za Yanga, Singida Fountain Gate na Azam FC sasa zimegeuzia akili zao kwenye michuano ya kimataifa.
Yanga chini ya Kocha Miguel Gamondi, Agosti 20, yaani Jumapili ijayo itakuwa na mchezo wa...
Uongozi wa Klabu ya Young Africans, umeweka wazi kuwa kushindwa kupata ushindi dhidi ya watani zao wa jadi Simba SC ni mwanzo wa kulipa kisasi wakikutana kwenye Ligi Kuu Bara.
Chini ya Kocha Mkuu, Miguel Gamondi, Agosti 13, 2023, ilishuhudiwa...
Uongozi wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans, umedhamiria kuiboresha safu ya ushambuliaji, baada ya kuona mapungufu katika michezo ya Ngao ya Jamii, na shabaha kuu imeelekezwa kwa Mshambuliaji kutoka DR Congo na Klabu ya Al Hilal ya...
Baada ya kuwepo kwa sintofahamu kwa mashabiki wa Simba kuona winga wao fundi Kramo Aubin anasugua benchi pasipo kupata nafasi katika mechi yoyote.
Taarifa za ndani ya Simba zinaeleza kuwa mchezaji huyo amekuwa akiugua ghafla siku chache kabla ya mchezo.
Pamoja...
Kocha Mkuu wa Simba SC, Roberto Oliviera 'Robertinho' amesema bado anaitengeneza timu yake ili kuhakikisha anakuwa na kikosi imara.
Aakizungumza mara ya mechi ya Ligi Kuu dhidi ya Mtibwa kumalizika na timu yake kuibuka na ushindi wa 4-2, Robertinho alisema,...
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo