IKIWA Uwanja wa Manungu, Morogoro katika safu za milima ya Uluguru, Mtibwa Sugar imeyeyusha pointi tatu.
Ubao umesoma Mtibwa Sugar 2-4 Simba ukiwa ni mchezo wa ufunguzi Ligi Kuu Bara msimu wa 2023/24.
Katika mchezo wa Agosti 17 Uwanja wa Manungu,...
Tunawaletea safari ya kasino ya mtandaoni kutoka Meridianbet mpya kabisa iliyoathiriwa moja kwa moja na Dola ya Kirumi ya zamani. Mtashuhudia askari ambao ni njia yako ya haraka kuelekea ushindi wa juu. Malipo ya juu kabisa ni mara 5,000...
KUFUATIA mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Azam FC dhidi ya Kitayosce ya Tabora kutokamilika dakika 90 uongozi wa Bodi ya Ligi Tanzania umetolea ufafanuzi suala hilo.
Ni Yanga wao walitwaa taji la ligi msimu wa 2022/23 wana kazi...
Mshambuliaji wa Timu ya Taifa ya Tanzania, Simon Happygod Msuva ametoa onyo kwa timu za Ligi Kuu akisema kipa mpya wa Simba, Ayoub Lakred kutoka FAR Rabat ya Morocco ana kiwango bora sana uwanjani.
Simba walimtangaza kipa huyo wiki iliyopita...
Afisa Mtendaji Mkuu wa Simba SC, Iman Kajula, ameibuka na kubainisha kwamba, wamekuja na mpango mkakati maalum msimu huu wa 2023/24 utakaowawezesha kubeba makombe yote waliyoyakosa katika misimu miwili mfululizo ambayo yalibebwa na Young Africans.
Kauli hiyo imekuja mara baada...
Baada ya kukitazama kikosi cha Simba katika michezo mitatu iliyopita, nyota wa zamani wa Yanga, Pan na Timu ya Taifa, Rashid Idd ‘Chama’ amesema timu hiyo bado haijapata muunganiko na mashabiki wanapaswa kuipa muda.
Tangu iliporejea kutoka Uturuki ilikoweka kambi...
Simba bado iko sokoni na sasa imepanga kumshusha kiungo mkabaji, Efoe Novon raia wa Togo huku wakipanga kumtoa kwa mkopo straika wao raia wa Zambia, Moses Phiri.
Novon kwa sasa anaitumikia Klabu ya ASKO Kara ya kwao Togo, ambayo alijiungana...
Hiki hapa Kikosi cha Simba Sports Club kitakachoanza leo katika mchezo wao wa kwanza wa ligi Kuu ya NBC msimu huu dhidi ya Mtibwa Sugar katika Dimba la Manungu, Turiani Morogoro.
Hiki hapa Kikosi cha Simba Sports Club kitakachoanza leo...
Tunapozungumzia kuhusu ndege, idadi kubwa ya watu wamepanda ndege. Lakini, wakati huu tunawaletea kitu kingine. Je, umewahi kutamani kusafiri na meli ya zeplin? Mchezo mpya wa kasino ya mtandaoni ya Meridianbet unakupa fursa hiyo.
Sky Bounty ni sloti ya kasino...
Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel Angel Gamondi amebadilisha program ya wachezaji wake kwa kuwapa mazoezo ya viungo baada ya jana kufanya Gym ili kujiweka sawa kuelekea katika mchezo wa kwanza wa Ligi ya Mabingwa Afrika.
Yanga jana asubuhi walifanya mazoezi...