Mchambuzi nguli wa masuala ya Soka nchini, Edo Kumwembe amedai kuwa kikosi cha Klabu ya Simba kilikwenda nchini Uturuki kuzurura tu badala ya kujiandaa na msimu mpya wa soka. Haya ni maoni ya Edo kufuatia kiwango alichokiona kwa Simba katika...
Licha ya kutopoteza dhidi ya Mtibwa Sugar katika Ligi Kuu kwa miaka 10, beki wa Simba, Israel Mwenda anaamini mechi ya leo baina yao kwenye Uwanja wa Manungu Complex haitokuwa nyepesi kwa upande wao. Mara ya mwisho kwa Mtibwa Sugar...
MWAMUZI wa zamani Methew Akram amewataka wadau wa soka kuheshimu uamuzi wa mwamuzi wa fainali ya Simba dhidi ya Yanga, Jonesia Rukya kwa madai alijitahidi kuumudu mchezo. Juzi ilikuwa fainali ya kibabe ya Ngao ya Jamii iliyowakutanisha watani hao katika...
ACHANA na ushindi wa penalti wa Simba dhidi ya Yanga kwenye Ngao ya Jamii juzi Jumapili jijini Tanga, ishu kubwa ni namna ambavyo kiungo mzawa, Mzamiru Yassin alivyovaa ujasiri wa kupiga penalti. Simba na Yanga kwenye mchezo huo wa fainali...
MIAMBA ya soka nchini Simba, leo inaanza kampeni ya kusaka ubingwa wa Ligi Kuu soka Tanzania Bara dhidi ya Mtibwa Sugar. Mchezo huo pekee leo wa ligi hiyo utafanyika kwenye uwanja wa Manungu Complex, Turiani mkoa wa Morogoro. Ligi hiyo imeshuhudia...
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
Uongozi wa Simba, umeweka wazi kuwa, kukosa penalti kwenye mchezo wa fainali ya Ngao ya Jamii kwa nyota wao wawili, Moses Phiri na Saidi Ntibazonkiza ‘Saido’ ni sehemu ya mchezo. Agosti 13, mwaka huu, Simba ilitwaa Ngao ya Jamii kwenye...
Shabiki kindakindaki wa Klabu ya Simba, Yusuph Mwenda maarufu kama Mzee Mwenda anasema kuwa viongozi wengi wa timu hapa nchini hawaujui mpira, ambapo kawatolea mfano Viongozi wa klabu ya Simba SC. Mwenda amesema hayo wakati akihojiwa na chombo kimoja cha...
KOCHA Mkuu wa Yanga, Miguel Angel Gamondi amebadilisha program ya wachezaji wake kwa kuwapa mazoezo ya viungo baada ya jana kufanya Gym ili kujiweka sawa kuelekea katika mchezo wa kwanza wa Ligi ya Mabingwa Afrika. Yanga leo asubuhi walifanya mazoezi...