Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
Kiungo wa Simba SC Sadio Kanoute ameweka wazi mwanzo mzuri wa msimu Kocha Robertinho amepata muda wa kutosha kujiandaa na wachezaji na anaamini ni wakati mzuri kwa Simba SC Msimu huu kuyarudisha makombe yote waliyopoteza kwa Miaka miwili yote...
Mshambuliaji wa Simba Moses Phiri ameandika katika mtandao wa Instagram kuwa amechelewa kuchapisha picha akiwa na Ngao ya Jamii kwakuwa alitingwa katika kuutafuta mpira uliopotea Usiku wa jana katika uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga dhidi ya Yanga. “Pole jamani nimechelewa...
Mlinda Lango wa Simba SC, Ally Salim Katoro amefunguka kuwa siri kubwa ya kuokoa Penati tatu kati ya nne zilizopigwa na Young Africans katika mchezo wa Fainali ya Ngao ya Jamii, ni maelekezo aliyopewa na Kocha wao wa makipa,...
Dice Dice Dice ni mchezo wa kisasa wa kasino ya mtandaoni Meridianbet uliotengenezwa na Red Tiger. Katika mchezo huu unapata bonasi kibao. Alama za jokeri zinakupa ushindi mara mbili zaidi, na wakati wa Bonasi ya Kuzungusha Upya/Respin, nyaraka za...
Vita ya kuwania Ubingwa wa wa Ligi Kuu Tanzania Bara kwa msimu mpya wa mwaka 2023/2024 inatarajia kuanza rasmi kesho Jumanne (Agosti 15) katika viwanja vitatu tofauti. Mechi za ufunguzi wa ligi hiyo ni kati ya Ihefu SC dhidi ya...
Kocha Mkuu wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans, Miguel Gamondi amesema kikosi chake kipo tayari kwa Michuano ya Kimataifa sambamba na kuanza Ligi Kuu 2023/24. Gamondi ametoa kauli hiyo akiwa jijini Tanga ambapo kikosi chake kilikuwa na mtihani...
KOCHA Mkuu wa Simba, Roberto Oliviera ‘Robertinho’, amesema ubingwa wa Ngao ya Jamii walioupata ni mwanga mzuri kuelekea msimu mpya wa 2023/24 wa Ligi Kuu Tanzania Bara. Simba imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Ngao ya Jamii baada ya kuibuka na ushindi...
Rise of the Genie ni mchezo wa kasino ya mtandaoni ya Meridianbet wa kusisimua kutoka kwa mtoa huduma iSoftBet, ambapo jukumu kuu linashikiliwa na jini mchawi. Mchezo huu unatoka kwenye hadithi za Aladin na visa vyake vya uchawi ambapo...