YANGA ishindwe yenyewe tu kwa namna neema ilivyoiangukia mapema kabla ya msimu mpya wa Ligi Kuu Bara na michuano ya CAF haijaanza kutokana na ratiba ilivyowakalia utamu.
Ligi Kuu Bara inatarajiwa kuanza Agosti 15 na Yanga imepangwa kuanzia nyumbani katika...
Klabu ya Singida Fountain Gate imetolea ufafanuzi taarifa zilizosambaa mitandaoni kuwa inshirikiana na Klabu ya Yanga kuelekea fainali ya Ngao ya Jamii leo kati ya Yanga na Simba Sc kwenye Dimba la CCM Mkwakwani Tanga.
Taarifa hiyo inakuja baada ya...
WAKATI Simba ikipambana dhidi ya Singida Fountain Gate jukwaani kulikuwa na ugeni wa watu wanne wakiwasoma ambao uwepo wao hapo hauna habari njema kwa wekundu kutokana na chabo waliyokuwa wakipigwa na ugeni huo kutoka Yanga.
Jukwaani kulikuwa na makocha wanne...
KABLA ya mchezo wa Kariakoo Dabi itakayopigwa jijini hapa vikosi vyote viwili vimepokea taarifa njema ambazo zitawafanya watabasamu kwa kuongeza kitu kwao.
Tuanze na Simba wao watampokea kiungo Clatous Chama ambaye atarejea uwanjani kucheza mechi yake ya kwanza baada ya...
Achana na Robertinho yeye tayari ameshapata mwanga‼️Lakini vipi hawa wawili, Miguel Gamondi wa upande wa Yanga SC pamoja na Youssouph Dabo wa Azam FC wote hawa ni wageni hasa kwenye NBC PL na soka tu kiujumla hapa Tanzania.
Licha ya...
Kuna vita kubwa ya namba ya namba inayoendelea kambini Yanga ni baada ya wachezaji wazawa kugoma kukaa benchi.
Yanga wapo kambini hivi sasa wakijiandaa na mchezo wa Ngai ya Jamii hatua ya fainali watakaocheza dhidi ya Simba SC Jumapili hii...
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
NI Mechi ya kisasi na kutaka kuanza mwanzo mpya wa Msimu wa 2023/24 . Hivi ndio unavyoweza kuizungumzia mechi ya fainali ya ngao ya jamii kati ya Mabingwa Watetezi wa kombe hilo Yanga dhidi ya Simba.
Mchezo huo utakaopigwa saa...
Kampuni ya Meridianbet ambayo imekua na utaratibu wa kutoa msaada kwa jamii yake mara kwa mara na wakati huu kampuni hiyo imefika Makumbusho na Mawasiliano katika vituo vya mabasi na kutoa msaada kwa madereva wa Bodaboda na Bajaji.
Mabingwa wa...