Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa klabu ya Simba Crescentius Magori bado ameendelea kuwa gumzo mitandaoni baada ya kuendelea kutoa kauli tata juu ya matokeo ya kikosi cha Simba kwenye mchezo dhidi ya Yanga Oktoba 19 katika Uwanja wa...
BEKI wa Yanga, Ibrahim Bacca amemtumia ujumbe mshambiliaji wa Simba, Leonel Ateba akimtaka aweke akiba ya maneno na afahamu kwamba soka ni vitendo zaidi na sio maneno. Kauli hiyo ya Bacca ni baada ya kufanikiwa kumzuia Ateba kutofunga bao katika...
Habari ya mjini kwasasa ni mchezo wa Rich Panda ambao unakupa fursa ya kupiga mkwanja kwa staili ya aina yake, Kwani mchezo huu umekua moja ya michezo ya Kasino inayobadilisha maisha ya watu ambao wamekua wakinyakua mkwanja. Mchezo huu wa...
KLABU ya Simba SC wakiwa uwanja wa Sokoine Mbeya wameibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara. Bao pekee la Simba SC na la ushindi lilifungwa na beki Mcameroon,...
RAIS wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF), Wallace Karia, amezitaka timu za Ligi Kuu zenye wachezaji walio chini ya miaka 20 na hawapati nafasi za kucheza dakika nyingi, watolewe kwa mkopo kwenye timu zingine zenye mahitaji. Rais huyo...
Real Madrid, PSG, Arsenal, Girona wote wapo dimbani leo kuhakikisha unaondoka na mzigo wa kutosha kabisa. Huenda leo ni bahati yako beti na Meridianbet sasa uibuke mshindi. Tajirika na mechi kali ya leo kati ya Wanafainali wa UEFA  Real Madrid...
Winga wa Simba Joshua Mutale, amesema amefumba macho na kuziba masikio kuhusu watu wanamponda kutokana na kiwango chake kutowaridhisha wengi akisema kuwa akili yake anaelekeza kwenye ufanisi wa kazi iliyomleta ndani ya kikosi cha wekundu hao wa msimbazi. Ametoa kauli...
KATIKA kuimarisha kikosi cha Yanga, uongozi wa klabu hiyo umeweka wazi kwamba wameshusha kifaa kipya kutoka nje kwa ajili ya dirisha dogo la usajili. Ofisa habari wa Yanga, Ali Kamwe amesema kuwa hivi karibuni Rais wa klabu hiyo, Eng. Hersi...
Baada ya jana kushuhudia mitanange kibao ikipigwa katika ligi mbalimbali, leo hii pia kuna mechi za kibabe zitakazopigwa ambapo mechi hizo zina machaguo zaidi ya 1000 meridianbet. Ligi kuu ya NBC Tanzania itaendelea leo ambapo KMC ataumana dhidi ya Fountain...
Mabingwa wa michezo ya kubashiri kampuni ya Meridianbet wamekujia na mchezo mpya wa Sloti ya kasino mitandaoni unafahamika kama Rich Panda. Mchezo huu unakupa fursa ya kupiga mkwanja wa kutosha. Ukicheza mchezo wa Rich Panda kutoka Meridianbet unapata fursa ya...